Seksheniya Uchumi na Uzalishaji ina lengo la kutoa uwezeshaji wa kitaalamu kuhusu sektaza uchumi na uzalishaji kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa katika Mkoa. Sekshenihii inaongozwa na Katibu Tawala Msaidizi ambaye anawajibika kwa Katibu Tawalawa Mkoa
Majukumu ya Seksheni yaUchumi na Uzalishaji
Regional Block, 90 Mwl. Julius Nyerere Road
Sanduku la barua: Box 128 Sumbawanga
Simu: 025 280 2137
Simu: 0756941328
barua pepe: ras@rukwa.go.tz
Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa