Ili uweze kuonana na Mkuu wa Mkoa unahitajika kumuona Katibu/Msaidizi wa mkuu wa Mkoa umueleze sababu za kuhitaji kuonana na Mkuu wa mkoa nae atakusaidia.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 1 Barabara ya Mkoani
Sanduku la barua: Box 128 Sumbawanga, 55180 RUKWA
Simu: 025 280 2137
Simu: 0735019734
barua pepe: ras@rukwa.go.tz
Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa