Watumishi wa Ofoi ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa wamemkaribisha kwa shangwe Mkuu mpya wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joseph Mkirikiti baada ya kuwasili katika ofisi hiyo akitokea mkoani Manyara ambapo nae alikabidhi kijiti hicho cha Ukuu wa mkoa kwa Mh. Makongoro Nyerere.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 1 Barabara ya Mkoani
Sanduku la barua: Box 128 Sumbawanga, 55180 RUKWA
Simu: 025 280 2137
Simu: 0735019734
barua pepe: ras@rukwa.go.tz
Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa