• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
Rukwa Region
Rukwa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Rukwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Huduma za Kisheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Sumbawanga
    • Wilaya ya Nkasi
    • Wilaya ya Kalambo
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Nkasi
    • H/Wilaya ya Kalambo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Utalii
    • Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Miundombinu ya Rukwa
  • Huduma zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Livestocks
    • Huduma za Uvuvi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Huduma za Kisheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Fedha
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
    • Waliofaulu na Waliochaguliwa Shule

Raia wa Oman anayezunguka Afrika kwa pikipiki atua Rukwa.

imewekwa Tar: November 20th, 2018

Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amemuomba raia wa nchi ya Oman Maher Al Barwan anayefanya ziara ya kulizunguka bara la Afrika kwa pikipiki kuhakikisha anautangaza mkoa wa Rukwa na fursa za uwekezaji zilizopo pamoja na vivutio vya utalii vinavyopatikana katika Mkoa.

Amemuambia kuwa Mkoa wa Rukwa una ardhi ya kutosha kwa wawekezaji kuja kuwekeza pamoja na juhudi zinazofanywa na serikali ya awamu ya tano ya kuimarisha barabara pamoja na upanuzi wa kiwanja cha ndege cha Sumbawanga kutapelekea maeneo mengi ya Mkoa kufikika kwa urahisi na wale wanaotoka nje ya mkoa kufika kwa haraka.

“Mji wetu ni mzuri, una amani, Wafipa wakarimu na tunaendelea kuudumisha utamaduni, wakati mwingine unaweza kuona kuna machifu na mambo mengi mazuri,” Alieleza.

Waliongea hayo wakati Albarwani alipotembelea katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa na kufanya maongezi na mkuu huyo ikiwa ni pamoja na kujitambulisha na kutaka kusikia fursa na vivutio vilivyopo katika Mkoa wa Rukwa na kumuahidi kuwa atautangaza Mkoa wa Rukwa katika msafara wake huo.

Matangazo

  • Matokeo ya Kidato cha SITA 2018 July 16, 2018
  • Matokeo ya Darasa la 7 mwaka 2018 Mkoani Rukwa. October 23, 2018
  • WATAHINIWA WALIOFAULU KWA NAFASI YA SHULE ZA KUTWA MWAKA 2019 MKOA WA RUKWA December 17, 2018
  • Waliochaguliwa kujiunga Kidato cha Kwanza Mkoa wa Rukwa 2018 January 05, 2018
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC Wangabo Kupita Kijiji hadi Kijiji kuwasaka wajasiliamali wasio na vitambulisho.

    February 04, 2019
  • Wajasiliamali wasiotambulika wapewa wiki tatu kujisalimisha

    February 01, 2019
  • Shule ya kata iliyoachwa kwa miaka 10 kusajiliwa mwaka huu Rukwa.

    January 23, 2019
  • Wanaowinda panya washauriwa kufuga kuku ili kupunguza uharibifu wa mazingira.

    January 21, 2019
  • Angalia Zote

Video

RC Wangabo azihamasishaTaasisi na wananchi kufika Msitu wa mbizi kuchukua miti.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miundombinu ya Rukwa
  • Uvuvi
  • Mikakati ya Mkoa
  • Industries
  • Madini
  • Speeches
  • Huduma za Kilimo
  • Regional History
  • Hotuba

Viunganishi Linganifu

  • Pakua Salaryslip yako hapa
  • Idara ya Takwimu (NBS)
  • Kilio cha Wananchi kinasikilizwa
  • Watumishi portal
  • Tafuta ajira Serikalini
  • Pata kila kitu kutoka serikalini

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Regional Block, 90 Mwl. Julius Nyerere Road

    Sanduku la barua: Box 128 Sumbawanga

    Simu: 025 280 2137

    Simu: 0756941328

    barua pepe: ras@rukwa.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Wapitiaji

https://www.stat-counter.org

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa