• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
Rukwa Region
Rukwa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Rukwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Huduma za Kisheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Sumbawanga
    • Wilaya ya Nkasi
    • Wilaya ya Kalambo
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Nkasi
    • H/Wilaya ya Kalambo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Utalii
    • Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Miundombinu ya Rukwa
  • Huduma zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Livestocks
    • Huduma za Uvuvi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Huduma za Kisheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Fedha
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
    • Waliofaulu na Waliochaguliwa Shule

"Wananchi tunaomba Ushirikiano katika Kuukaribisha Mwenge wa Uhuru Mkoani kwetu." RC Rukwa

imewekwa Tar: April 3rd, 2017

“Tunategemea kupokea Mwenge wa Uhuru 07 Aprili, 2017 kutoka Mkoa wa Katavi katika kijiji cha Kizi Wilayani Nkasi.  Mara baada ya mwenge kupokelewa utakimbizwa katika Wilaya zote Tatu na Halmashauri zake.  Ni mategemeo yangu kwamba wananchi katika Wilaya zote katika maeneo yote utakapopita watajitokeza kwa wingi kwenye shughuli zote ambazo zitapitiwa na Mwenge wa Uhuru pamoja na kuwaona wakimbiza Mwenge wa Uhuru wa Kitaifa kwa mwaka 2017. 

Katika mbio hizo kutakuwa na shughuli za kuweka mawe ya msingi, uzinduzi wa miradi iliyokamilika na kusikia ujumbe wa Mbio za Mwenge kutoka kwa Wakimbiza Mwenge na mikesha.  Na hatimaye mnamo tarehe 11 Aprili, 2017 Mwenge wa Uhuru tutaukabidhi kwa jirani zetu wa Mkoa wa Songwe katika kijiji cha Mkutano.

Natumaini wananchi wote wa Mkoa wa Rukwa wanaelewa na kuthamini Mbio hizo na natumaini wote tutajumuika na kuona Mkoa wetu unakuwa mstari wa mbele kuenzi mbio hizo.  Natoa wito kwa viongozi ngazi ya Wilaya na Halmashauri kuwapa nafasi ya kutosha wananchi kushiriki katika mbio hizo.” Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Kamishna Mstaafu Zelote Stephen Zelote


Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2025 July 08, 2025
  • RATIBA YA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA 2025 April 15, 2025
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA - 2025, KULINGANA NA MATOKEO YALIYOTANGAZWA NA BARAZA LA MITIHANI LA TAIFA (NECTA) June 04, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 04, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONGORO ATEMBELEA FORODHA YA KASESYA, AHAMASISHA UWEKEZAJI

    July 15, 2025
  • RC MAKONGORO AFUNGUA JENGO JIPYA LA TAWI LA TCB SUMBAWANGA, APONGEZA KUIMARIKA KWA HUDUMA ZA KIFEDHA.

    July 10, 2025
  • UFAULU KIDATO CHA SITA; RUKWA YAZIDI KUPAA, RC MAKONGORO APONGEZA

    July 10, 2025
  • SERIKALI YAPIGA MARUFUKU TOZO ZA CHANJO NA UTAMBUZI WA MIFUGO

    July 10, 2025
  • Angalia Zote

Video

LIVE- WAZIRI MCHENGERWA ANATAO TANGAZO LA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miundombinu ya Rukwa
  • Uvuvi
  • Mikakati ya Mkoa
  • Industries
  • Madini
  • Speeches
  • Huduma za Kilimo
  • Regional History
  • Hotuba

Viunganishi Linganifu

  • Pakua Salaryslip yako hapa
  • Idara ya Takwimu (NBS)
  • Mfumo wa Kutuma, Kupokea na kufuatilia Malalamiko, Mapendekezo, Maulizo na Pongezi
  • Watumishi portal
  • Tafuta ajira Serikalini
  • Pata kila kitu kutoka serikalini

World visitors tracker

world map hits counter

Wapitiaji

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa