• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
Rukwa Region
Rukwa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Rukwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Huduma za Kisheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Sumbawanga
    • Wilaya ya Nkasi
    • Wilaya ya Kalambo
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Nkasi
    • H/Wilaya ya Kalambo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Utalii
    • Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Miundombinu ya Rukwa
  • Huduma zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Livestocks
    • Huduma za Uvuvi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Huduma za Kisheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Fedha
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
    • Waliofaulu na Waliochaguliwa Shule

Waziri Kigwangala atoa siku 90 kwa TAWIRI kufanya sensa ya Mamba Ziwa Rukwa

imewekwa Tar: July 3rd, 2018

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamisi Kigwangalla ametoamiezi mitatu kwa Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI), kufanyautafiti na sensa ya mamba katika Ziwa Rukwa ili kubaini idadi yake na hatimayekuishauri Serikali namna ya kudhibiti madhara yanayosababishwa na mamba hao kwawananchi hususani wa jimbo la Songwe ikiwemo kuwavuna kama idadi yao itabainikakuwa kubwa.

Dk. Kigwangalla, ametoa agizo hilo jana katika kijiji chaMaleza kata ya Mbangala wilaya ya Songwe mkoani Songwe, alipokuwa akizungumzakwenye mkutano wa hadhara wakati wa ziara yake ya siku moja wilayani humo kwaajili ya kutatua mgogoro uliopo baina ya wananchi na Mamba wa Ziwa Rukwa.

“Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori ambayo ipo chini yaWizara yangu, nawaagiza wafike hapa mara moja na ndani ya miezi mitatu, wanipemajibu nini kifanyike kupunguza madhara yanayotokana na mamba kwenye ZiwaRukwa, wafanye sensa watuambie kuna Mamba wangapi lakini pia watushauri ninitufanye ili kudhibiti mamba hao wasiendelee kusababiaha athari kubwa kwenyemaisha ya watu wanaoishi jirani lakini pia wanaoutumia Ziwa.

“Kwa sababu madhara yanaweza yakawa mengi, inawezekana mambawameshakuwa wengi na samaki wamebaki wachache, kwahivyo hata Mamba nao mwishowewataanza kufa ama wataanza kutafuta chanzo kingine cha chakula pengine ndiomaana wameanza kutafuta binadamu anayekwenda Ziwani kwasababu  sasa wanakuwa na njaa, inabidi wasogeeufukweni wawinde chochote kinachosogea karibu na maji” alifafanua Dk.Kigwangalla. 

Dk. Kigwangalla ametoa agizo hilo kufuatia malalamikombalimbali yaliyowasilishwa kwake na mbunge wa Jimbo la Songwe, Philipo Mulugoambaye amesema kumekuwepo na matukio mengi ya Mamba kushambulia na kuuwawananchi wa vijiji jirani wanaofata huduma mwambao wa Ziwa Rukwa.

Matangazo

  • Matokeo ya Darasa la Saba 2019 - Rukwa October 17, 2019
  • Orodha ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza Mwaka 2021, Mkoa wa Rukwa December 18, 2020
  • Fomu za Kujiunga na Shule mbalimbali za Sekondari (JOINING INSTRUCTION) kwa Mwaka 2021 mkoani Rukwa. December 20, 2020
  • Kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC) October 09, 2018
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Wananchi Waomba Daraja la muda baada ya watu wanne kuzama mtoni

    February 27, 2021
  • Wananchi walazimika kuzunguka Zaidi ya Km 30 kufuata huduma kwa kukosa barabara ya km 7.3.

    February 26, 2021
  • Helium Yaibuka Kikao cha Bodi ya Barabara na kuibua gumzo.

    February 25, 2021
  • Waliokula Shilingi Milioni 932 za Halmashauri kufikishwa mahakamani.

    February 24, 2021
  • Angalia Zote

Video

Mwaka 2020 kuwa mwaka wa kuwalinda watoto dhidi ya Ukatili Mkoani Rukwa
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miundombinu ya Rukwa
  • Uvuvi
  • Mikakati ya Mkoa
  • Industries
  • Madini
  • Speeches
  • Huduma za Kilimo
  • Regional History
  • Hotuba

Viunganishi Linganifu

  • Pakua Salaryslip yako hapa
  • Idara ya Takwimu (NBS)
  • Kilio cha Wananchi kinasikilizwa
  • Watumishi portal
  • Tafuta ajira Serikalini
  • Pata kila kitu kutoka serikalini

World visitors tracker

world map hits counter

Wapitiaji

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

    Regional Block, 90 Mwl. Julius Nyerere Road

    Sanduku la barua: Box 128 Sumbawanga

    Simu: 025 280 2137

    Simu: 0756941328

    barua pepe: ras@rukwa.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa