• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
Rukwa Region
Rukwa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania PMO - Regional Administration and Local Government Mkoa wa Rukwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Huduma za Kisheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Ugavi
      • KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI
      • KITENGO CHA MAENDELEO YA JAMII
  • Wilaya
    • Wilaya ya Sumbawanga
    • Wilaya ya Nkasi
    • Wilaya ya Kalambo
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Nkasi
    • H/Wilaya ya Kalambo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Utalii
    • Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Miundombinu ya Rukwa
  • Huduma zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Livestocks
    • Huduma za Uvuvi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Huduma za Kisheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Fedha
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
    • Waliofaulu na Waliochaguliwa Shule

WAZIRI UMMY AMUAGIZA RMO WA RUKWA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA KATIKA NGAZI ZOTE ILI KUTEKELEZA SERA YA AFYA

imewekwa Tar: August 19th, 2017

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazeee na Watoto, Ummy Mwalimu amemuagiza Mganga mkuu wa mkoa wa rukwa kuboresha huduma za afya katika ngazi zote ili kuwasaidia wananchi wa mkoa huo kulingana na sera ya afya.

Hayo ameyasema leo wakati wa ziara yake ya kukagua huduma za Afya katika Wilaya ya Nkasi Mkoani Rukwa.

“Maelekezo yangu ni tujenge hospitali zetu za Wilaya kwasababu pia idadi ya watu inazidi kuongezeka hivyo zitasaidiana na zile za taasisi zisizo za kiserikali ili kutimiza sera na miongozo ya Serikali”

Aidha Waziri Ummy amemtaka Mganga Mkuu wa Mkoa kufuatilia kwa ukaribu huduma zitolewazo na hospitali za taasisi zisizo Zakiserikali ili kuhakikisha kwamba zinafuata miongozo na sera ya Afya ya Serikali.

Kwa upande wake Mganga mkuu wa Mkoa wa Rukwa Dkt. Boniface Kasulu amesema kuwa kuna changamoto mbali mbali zinazoikumba Mkoa wake zikiwemo upungufu wa watumishi wa Afya kwani Mkoa unahitaji jumla ya watumishi 3489 lakini waliopo ni watumishi 1593 sawa na 46% huku kukiwa na upungufu wa watumishi 1895 ambayo ni sawa na 54%.

Aidha Dkt. Boniface amesema kuwa licha ya changamoto zilizopo ameipongeza Serikali ya awamu ya Tano kupitia Wizara ya Afya, maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto na ushirikiano na wadau mbalimbali kwa kuwajengea vyumba vya upasuaji katika vituo tisa huku vituo sita vikiwa vinamilikiwa na Serikali jambo linalosaidia kupunguza vifo vitokanavyo na kukosa upasuaji kwa muda.

Mbali na hayo Dkt. Boniface Kasulu amempongeza Mh. Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli kwa kuwapatia magari mawili ya kubebea wagonjwa jambo ambalo limesaidia kupunguza hadha ya hospitali nyingi ikiwemo vifo vya mama wajawazito.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2026 December 06, 2025
  • RATIBA YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE August 20, 2025
  • RATIBA YA MTIHANI WA UPIMAJI WA KIDATO CHA PILI 2025 November 05, 2025
  • RATIBA YA MTIHANI WA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI 2025 August 20, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • WATUMISHI WA AFYA RUKWA WAHIMIZWA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI KUHUSU BIMA YA AFYA KWA WOTE

    December 17, 2025
  • BODI YA USHAURI YA HOSPITALI YA RUFAA SUMBAWANGA YAZINDULIWA, YAAGIZWA KUIMARISHA USHIRIKIANO NA MENEJIMENTI KUBORESHA HUDUMA.

    November 28, 2025
  • PPRA YAANZA MAFUNZO KUWEZESHA MAKUNDI MAALUM KUSHIRIKI UNUNUZI WA UMMA

    December 25, 2025
  • RC MAKONGORO AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA AMANI RUKWA , ASISITIZA UOMJA NA KULINDA AMANI KWA MAENDELEO YA MKOA

    November 20, 2025
  • Angalia Zote

Video

LIVE- WAZIRI MCHENGERWA ANATAO TANGAZO LA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miundombinu ya Rukwa
  • Uvuvi
  • Mikakati ya Mkoa
  • Industries
  • Madini
  • Speeches
  • Huduma za Kilimo
  • Regional History
  • Hotuba

Viunganishi Linganifu

  • Pakua Salaryslip yako hapa
  • Idara ya Takwimu (NBS)
  • Mfumo wa Kutuma, Kupokea na kufuatilia Malalamiko, Mapendekezo, Maulizo na Pongezi
  • Watumishi portal
  • Tafuta ajira Serikalini
  • Pata kila kitu kutoka serikalini

World visitors tracker

world map hits counter

Wapitiaji

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa