imewekwa Tar: May 1st, 2019
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amewaasa wafanyakazi mkoani Rukwa kupunguza matumizi ya simu za mikononi kwaajili ya shughuli binafsi nje na majukumu ya kazi hasa muda wa kazi wanapokuwa ofi...
imewekwa Tar: April 26th, 2019
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo ameendelea kuwasisitiza wafugaji kuendelea kufuga kisasa baada ya biashara ya mifugo katika minada ya awali na ule wa mpakani na nchi ya Zambia katika Kijiji ...
imewekwa Tar: April 24th, 2019
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh.Joachim Wangabo amemtaka Mkurugenzi wa halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga kusimamia kwa karibu, umakini na kuongeza kasi ya ujenzi wa hospitali ya Wilaya ya sumbawanga ...