imewekwa Tar: August 15th, 2018
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako ameigiza Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi VETA Kanda ya Kusini Magharibi kuhakikisha Chuo Cha Wilaya ya Nkasi cha Elimu na Mafu...
imewekwa Tar: August 14th, 2018
Serikali imesema itajenga majengo mapya ya Chuo cha Ualimu Sumbawanga ili kukihamisha kutoka kwenye majengo ya Kanisa Katoliki ambayo yamekuwa yakitumika kwa muda.
Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa...
imewekwa Tar: August 9th, 2018
Mkuu wa mkoa wa Rukwa h. Joachim Wangabo amewataka viongozi na watendaji wa serikali katika ngazi mbalimbali pamoja na wadau wa lishe mkoani humo kuonyesha bayana michango wao katika kukabiliana na ta...