imewekwa Tar: October 3rd, 2017
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Kamishna Mstaafu Zelote Stephen ameishauri benki ya NMB kufungua tawi katika bonde la Ziwa Rukwa ili kusogeza huduma hiyo karibu na wananchi ambao shughuli zao kubwa za kiuchumi ...
imewekwa Tar: September 29th, 2017
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Kamishna Mstaafu Zelote Stephen amewatahadharisha wananchi wa Mkoa huo kujihadhari na mvua zilizoanza na upepo ulioezua baadhi ya paa za nyumba na vituo vya kutolea huduma ...
imewekwa Tar: September 29th, 2017
Katibu tawala msaidizi serikali za mitaaa wa Mkoa wa Rukwa Albinus Mgonya amewaasa watumishi wapya wa kada wa uhasibu katika Halmashauri za Mkoa wa Rukwa kufanya kazi kwa uadilifu na kuzingatia sheria...