imewekwa Tar: January 10th, 2020
Mvua zinazoendelea kunyesha katika mkoa wa Rukwa zimeendelea kusababisha maafa baada ya kusomba madaraja manne katika barabara ya Kasansa – Kilyamatundu inayounganisha mikoa ya Songwe, Rukwa na Katavi...
imewekwa Tar: January 9th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amewaonya watumishi wa ofisi ya mkuu wa mkoa huo juu ya kutojihusisha na siasa hasa katika kipindi hiki cha kuelekea katika uchaguzi mkuu wa madiwani, wabunge...
imewekwa Tar: January 8th, 2020
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako amewataka wathibiti ubora wa elimu nchini kufanya kazi kwa weledi kwakuwa serikali inathamini kazi zao na kuwategemea ili kuwa jicho...