Serikali ya Awamu ya Tano imeendelea kuboresha huduma za Maji katika Mkoa. Katika kipindi cha Mwaka 2015 upatikanaji wa maji ndani ya Mkoa ulikuwa ni asilimia 45 aidha, kufikia mwaka huu 2018 hali ya upatikanaji wa maji umeongezeka hadi kufikia asilimia 53.5.
Katika kuhakikisha huduma ya maji inaongezeka, Serikali kupitia Wizara ya Maji imetenga kiasi cha shilingi 5,686,194,000/= kwa mwaka 2018/2019 kwa ajili ya kuendelea na ujenzi wa miradi ya maji na kampeni ya usafi wa mazingira.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 1 Barabara ya Mkoani
Sanduku la barua: Box 128 Sumbawanga, 55180 RUKWA
Simu: 025 280 2137
Simu: 0735019734
barua pepe: ras@rukwa.go.tz
Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa