Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo akipata maelezo kutoka kwa Mkulima John Kapapalata aliyelima eka moja ya kahawa katika shamba lake ili kuona faida ya zao hilo huku akiendelea kulima mahindi.
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo akiukagua mmea wa kahawa alipotembelea shamba la mmoja wa wakulima wachache wanaolima zao hilo katika kijiji cha Katuka, Kata ya Msanzi Wilayani kalambo.
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo akitoa maelekezo kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo James Ngagani (wa kwanza kulia) juu ya kuwapatia mafunzo wakulima hao wa kahawa
Kahawa
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 1 Barabara ya Mkoani
Sanduku la barua: Box 128 Sumbawanga, 55180 RUKWA
Simu: 025 280 2137
Simu: 0735019734
barua pepe: ras@rukwa.go.tz
Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa