TAARIFA YA HALI YA USHIRIKA MKOANI KUISHIA MWEZI JUNI 2017.
Sekta ya Ushirika ni Sekta muhimu sana kwa sababu ni Mtambuka, kuna Ushirika wa Kifedha (SACCOS) kuna Ushirika wa kilimo na masoko,(AMCOS) kuna Ushirika wa wafugaji Ngombe, kuna Ushirika wa wachimba madini n.k. Ushirika unaweza kuanzishwa katika kila eneo kwa hiyo ni dhahiri kuwa kila eneo kunaweza kuwa na Ushirika lengo lake kuu ni kuinua hali ya maisha ya wanachama wake, ambao kwa hiyari yao wameamua kuanzisha chombo cha kiuchumi ambacho wanakiendesha na kukimiliki.
Mkoa wa Rukwa una jumla ya Vyama vya ushirika 166 kati ya hivyo 108 ni Vyama vya Akiba na Mikopo (SACCOS), Vyama vya mazao (AMCOS) arobaini na mbili (42), Vyama vya Uvuvi sita (6) naVyama vya wafugaji vitano (5). Chama cha wafugaji nyuki kimoja (1) vyama vya wauza bidhaa vinne (4) na chama cha ufundi kimoja (1).
Jumla ya wanachama ni 17,209 (wanaume 10,294 wanawake 6,803 vikundi 111 na taasis 1). Jumla ya thamani ya hisa za wanachama ni Shilingi 998,377.000 Akiba ni Shilingi 2,048,325 na Amana zenye thamani ya Shilingi 26,211,000.00. Jumla ya mikopo yenye thamani ya Shilingi 9,725667,000/= imetolewa na kiasi cha Shilingi 7,775,671,000/= kimerejeshwa sawa na asilimia 73.2 ya fedha zilizokopeshwa.
NA
|
VYAMA
|
|
|
|
|
|
|
|
2013
|
2014
|
2015
|
2016
|
2017
|
1
|
SACCOS
|
78
|
79
|
96
|
106
|
108
|
2
|
AMCOS
|
8
|
9
|
15
|
42
|
42
|
3
|
UVUVI
|
3
|
3
|
12
|
6
|
6
|
4
|
UFUGAJI
|
2
|
4
|
4
|
5
|
5
|
5
|
NYUKI
|
0
|
0
|
0
|
1
|
1
|
6
|
UFUNDI
|
1
|
1
|
1
|
1
|
1
|
7
|
VINGINEVYO
|
1
|
1
|
1
|
3
|
3
|
|
JUMLA
|
93
|
97
|
|
164
|
166
|
NA.
|
MWAKA
|
IDADI YA WASHIRIKI
|
1
|
2012
|
150
|
2
|
2013
|
203
|
3
|
2014
|
215
|
4
|
2015
|
300
|
5
|
2016
|
307
|
6
|
2017
|
400
|
5. kuongezeka kwa uzalishaji wa mazao, baada ya vyama kukopa
pembejeo na kuwakopesha wananchama wake toka ziada ya tani
531,733 2014/15 hadi kufikia matarajio ya tani 727,496.6 mwaka
2017/18.
6. kuongezeka wa Hisa, Akiba na Mikopo iliyotolewa kupitia SACCOS
7.0 Kuongezeka kwa vyama vilivyokaguliwa na Mkaguzi wa nje kutoka
0 2014 kufikia 37 Mwaka 2017.
Pamoja na mafanikio hayo katika sekta ya ushirika Mkoa unakabiliwa na
changamoto zifuatazo:-
Katika kukabiliana na changamoto zilizotajwa hapo juu, Mkoa una mikakati ifuatayo:-
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 1 Barabara ya Mkoani
Sanduku la barua: Box 128 Sumbawanga, 55180 RUKWA
Simu: 025 280 2137
Simu: 0735019734
barua pepe: ras@rukwa.go.tz
Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa