BIASHARA.
Hali Ya Biashara Katika Mkoa.
Hali ya biashara katika mkoa inaendelea vizuri japo kuna changamoto chache za kushuka kwa bei za mazao. Biasahara ya mazao hasa mahindi huwa ni kichocheo kikubwa cha ustawi wa biashara nyingine kwani mahindi ndiyo zao kubwa la chakula na biashara katika mkoa wetu. Mfumuko wa bei kwa bidhaa za viwandani bado upo chini kiasi cha kufanya wananchi wanamudu kununua bidhaa hizo.
Utoaji wa mafunzo
Jumla ya wajasiriamali 23 walipata mafunzo katika kipindi cha mwaka wa fedha wa 2017/18. Mafunzo hayo yaliyotolewa au kuratibiwa na kila Halmashauri. Mafunzo hayo yalijikita katika masuala yafuatayo:-
Ukusanyaji na ufuatiliaji wa bei za bidhaa muhimu.
Idara za biashara katika halmashauri zinakazi ya kufuatilia mwenendo wa bei za bidhaa muhimu katika maeneo mbalimbali. Bei za bidhaa hizo ni kama zilivyoorodheshwa katika majedwali hapo chini.
Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi
Na
|
Aina Ya Bidhaa
|
Ufungaji
|
2017/2018
|
1
|
Mahindi
|
Gunia Kg 100
|
30,000/=
|
2
|
Mchele
|
1Kg
|
1500/=
|
3
|
Maharage
|
1Kg
|
1500/=
|
4
|
Sukari
|
1Kg
|
3000/=
|
5
|
Unga Wa Sembe
|
1Kg
|
1500/=
|
Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo
Na
|
Aina Ya Bidhaa
|
Ufungaji
|
April 2018 Hadi Juni 2017
|
1
|
Mchele
|
Kg 1
|
1500/=
|
2
|
Mahindi
|
Kg 1
|
300/=
|
3
|
Sukari
|
Kg 1
|
2700/=
|
4
|
Ngano
|
Kg 1
|
1200/=
|
5
|
Maharage
|
Kg 1
|
1500/=
|
Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga
Na
|
Bidhaa
|
Ujazo
|
Mwezi Julai 2017
|
Mwezi Juni 2018
|
Tofauti
|
1
|
Mahindi
|
Kilo 90
|
35,000
|
25,000
|
10,000
|
2
|
Mchele
|
Kilo 100
|
120,000
|
130,000
|
10,000
|
3
|
Maharage
|
Kilo 100
|
120,000
|
150000
|
30000
|
4
|
Sukari
|
Kilo 50
|
130000
|
130000
|
|
5
|
Mafuta ya Alizeti
|
Lt 20
|
60,000
|
68000
|
8000
|
|
Mafuta Ya Taa
|
Lt 1
|
2400
|
2400
|
|
|
Sabuni
|
Miche 10
|
8500
|
9500
|
1000
|
Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga
Na
|
Aina Ya Bidhaa
|
Ufungaji
|
2016/17
|
2017/18
|
Tofauti
|
1
|
Siment
|
50kg |
16500 |
17000 |
500 |
2
|
Nondo mm16
|
Roller |
30,000 |
30,000 |
|
3
|
Nondo mm12
|
Roller |
17,000 |
16000 |
1,000 |
4
|
Nondo mm 10
|
Roller |
12,000 |
11,000 |
1,000 |
5
|
Bati gauge 30
|
Bundle |
235,000 |
260,000 |
25,000 |
6
|
Bati gauge 28
|
Bundle |
250,000 |
290,000 |
40,000 |
7
|
Sukari
|
50kg |
100,000 |
140,000 |
40,000 |
8
|
Petrol
|
lts |
2160 |
2582 |
422 |
9
|
diesel
|
lts |
1990 |
2502 |
512 |
10
|
Mafuta ya taa
|
lts |
1980 |
2365 |
385 |
11
|
Mchele
|
Kg 100 |
180,000 |
130,000 |
50,000 |
12
|
Mahindi
|
Kg 100 |
50,000 |
25,000 |
25,000 |
13
|
Maharage
|
Kg 100 |
240,000 |
140,000 |
100,000 |
14
|
Nyama ya ng’ombe
|
1kg |
5000 |
5000 |
- |
Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa