• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
Rukwa Region
Rukwa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Rukwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Huduma za Kisheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Sumbawanga
    • Wilaya ya Nkasi
    • Wilaya ya Kalambo
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Nkasi
    • H/Wilaya ya Kalambo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Utalii
    • Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Miundombinu ya Rukwa
  • Huduma zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Livestocks
    • Huduma za Uvuvi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Huduma za Kisheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Fedha
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
    • Waliofaulu na Waliochaguliwa Shule

Uchumi na Uzalishaji

Seksheniya Uchumi na Uzalishaji ina lengo la kutoa uwezeshaji wa kitaalamu kuhusu sektaza uchumi na uzalishaji kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa katika Mkoa. Sekshenihii inaongozwa na Katibu Tawala Msaidizi ambaye anawajibika kwa Katibu Tawalawa Mkoa


Majukumu ya Seksheni yaUchumi na Uzalishaji

  • Kuratibuutekelezaji wa sera za Kilimo, Mifugo, Ushirika, Misitu, Uhifadhi, Uvuvi,Viwanda, Biashara na Masoko katika Mkoa
  • Kuzijengeauwezo Mamlaka za Serikali za Mitaa katika Mkoa katika kutoa huduma kwenyenyanja za Kilimo, Mifugo, Ushirika, Misitu, Uhifadhi, Uvuvi, Viwanda, Biasharana Masoko
  • Kuzisaidiana kuzishauri Mamlaka za Serikali za Mitaa juu ya teknolojia zinazofaa na zagharama nafuu katika sekta za uchumi na uzalishaji
  • Kusajilivyama/vikundi vya ushirika katika Mkoa
  • KuzishauriMamlaka za Serikali za Mitaa katika juu ya uanzishaji/uimarishaji na ukaguzi wavyama vya Ushirika na Akiba na Mikopo
  • Kusaidiana kuzishauri Mamlaka za Serikali za Mitaa juu ya kuzisimamia kampuni ndogo naza kati
  • Kuzisaidiana kuzishauri Mamlaka za Serikali za Mitaa katika kutambua maeneo nyeti yauwekezaji
  • Kuzisaidiana kuzishauri Mamlaka za Serikali za Mitaa katika kuendeleza na kukuza sekta yauvuvi na kuzalisha kisasa
  • Kusimamia,kuratibu na kuwezesha masuala yanayohusiana na misitu katika Mkoa
  • KuzishauriMamlaka za Serikali za Mitaa katika usimamizi wa sheria za kulinda wanyamapori
  • KuzishauriMamlaka za Serikali za Mitaa katika kuendeleza maeneo ya wanyamapori
  • KuzishauriMamlaka za Serikali za Mitaa katika kusimamia utalii, idadi ya wanyamapori namienendo yao/safari zao
  • KuziwezeshaMamlaka za Serikali za Mitaa katika kutekeleza sheria ya Mazingira.
  • Kutoaujuzi wa kitaalamu kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa kwenye masualayanayohusiana na maeneo/miradi ya umwagiliaji
  • Kuratibuutekelezaji wa uboreshaji wa taratibu za biashara katika Mkoa

Matangazo

  • RATIBA YA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA 2025 April 15, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 04, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA DARASA LA NNE 2024 January 04, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • MADAKTARI BINGWA 33 WAPOKELEWA RUKWA, HUDUMA ZA KIBINGWA KUTOLEWA HOSPITALI ZA WILAYA KWA SIKU TANO

    May 19, 2025
  • RUKWA YAANZA RASMI MATUMIZI YA MFUMO WA STAKABADHI GHALANI KWA ZAO LA MBAAZI NA UFUTA

    May 13, 2025
  • RC MAKONGORO AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO, ARIDHISHWA NA KASI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA UMEME

    May 05, 2025
  • JAMII YAASWA KUJENGA UTAMADUNI WA KUWAHUDUMIA WAZEE

    March 19, 2025
  • Angalia Zote

Video

LIVE- WAZIRI MCHENGERWA ANATAO TANGAZO LA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miundombinu ya Rukwa
  • Uvuvi
  • Mikakati ya Mkoa
  • Industries
  • Madini
  • Speeches
  • Huduma za Kilimo
  • Regional History
  • Hotuba

Viunganishi Linganifu

  • Pakua Salaryslip yako hapa
  • Idara ya Takwimu (NBS)
  • Mfumo wa Kutuma, Kupokea na kufuatilia Malalamiko, Mapendekezo, Maulizo na Pongezi
  • Watumishi portal
  • Tafuta ajira Serikalini
  • Pata kila kitu kutoka serikalini

World visitors tracker

world map hits counter

Wapitiaji

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa