Wednesday 4th, December 2024
@Sumbawanga
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa tarehe 13 Mei, 2022 atakuwa Mwenyekiti wa Kikao cha Kuratibu na Kudhibiti Mapato ya Serikali kitakachofanyika katika ukumbi wa RDC mjini Sumbawanga. Kikao hicho kitahusisha Wakurugenzi wa Halamsahauri na wataalam wa fedha na ukaguzi . Aidha Wakuu wa Wilaya za Nkasi, Kalambo na Sumbawanga wamealikwa kushiriki .
Taarifa zaidi za yakayojili zitatolewa mara baada ya kikao hicho.
Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa