Tuesday 24th, December 2024
@
Mkoa wa Rukwa utafanya utaadhimisha Siku ya UKIMWI Duniani kimkoa katika kijiji cha Kirando Wilaya ya Nkasi Desemba Mosi mwaka huu.
Maadhimisho hayo yanakwenda na kauli mbiu isemayo "IMARISHA USAWA"
Mgeni rasmi atakuwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhe. Queen Sendiga.
Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa