Wednesday 8th, October 2025
@RUKWA
MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2025 MKOANI RUKWA KUANZIA SEPTEMBA 28, 2025 HADI OKTOBA 1, 2025 KWA RATIBA IFUATAYO:
1. HALMASHAURI YA WILAYA YA NKASI TAREHE 28, SEPTEMBA 2025 MAPOKEZI KIJIJI CHA KIZI
2. HALMASHAURI YA MANISPAA YA SUMBAWANGA TAREHE 29, SEPTEMBA 2025 MAPOKEZI KIJIJI CHA FYENGELEZYA
3. HALMASHAURI YA WILAYA YA KALAMBO TAREHE 30,SEPTEMBA 2025 MAPOKEZI KIJIJI CHA MBULUMA
4. HALMASHAURI YA WILAYA YA SUMBAWANGA TAREHE 01, OKTOBA 2025 MAPOKEZI KIJIJI CHA LYAPONA
Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa