Friday 9th, May 2025 @Sumbawanga
Waziri wa Maji Jumaa Aweso (Mb) anatarajia kufanya ziara ya siku mbili mkoani Rukwa kuanzia tarehe 17-18 Desemba,2021 kukagua miradi ya maendeleo