Saturday 21st, December 2024
@
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Queen Sendiga ameanza ziara ya kikazi ya siku tatu katika halmashauri ya wilaya ya Sumbawanga kukagua miradi ya sekta za afya ,elimu pamoja na kuzungumza na wananchi.
Ziara hiyo imeanza tarehe 04 Febrauri 2023 ambapo itaendelea kwa tarehe 06 na 07 .
Taarifa zaidi ya yatakayojili kwenye ziara hiyo tembelea mitandao ya kijamii ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa yenye anwani @rukwa rs.
Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa