Tuesday 21st, January 2025
@Sumbawanga
Mkuu wa Mkoa Rukwa Mhe. Joseph Joseph Mkirikiti leo Jumatano (04.08.2021) amezindua zoezi la utoaji chanjo ya kinga dhidi ya ugonjwa wa virusi vya Corona. Halfa hiyo imefanyika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Sumbawanga na kuhudhuriwa na viongozi wa wilaya, madhehebu ya dini ,viongozi wa vyama vya siasa na wannchi wa Manispaa ya Sumbawanga.
Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa