Kwa mujibu wa Sheria ya Tasnia ya Nyama wafanyabiashara wote wanaofanya biashara ya kununua na kuuza mifugo katika minada ya mifugo, wanaosafirisha mifugo na wanaouza nyama ndani na nje ya nchi wanapaswa kujisajili Bodi ya Nyama Tanzania (TMB) na kupata leseni rasmi kulingana na aina na ngazi ya biashara na usafirishaji wa mifugo na nyama ndani au nje ya nchi.
Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa