• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
Rukwa Region
Rukwa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Rukwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Huduma za Kisheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Sumbawanga
    • Wilaya ya Nkasi
    • Wilaya ya Kalambo
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Nkasi
    • H/Wilaya ya Kalambo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Utalii
    • Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Miundombinu ya Rukwa
  • Huduma zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Livestocks
    • Huduma za Uvuvi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Huduma za Kisheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Fedha
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
    • Waliofaulu na Waliochaguliwa Shule

Miundombinu

Seksheni hii ina lengo la kutoa huduma za kitaalamu zinazohitajika kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa katika kuendeleza Miundombinu na inaongozwa na Katibu Tawala Msaidizi ambaye anawajibika kwa Katibu Tawala wa Mkoa.

Majukumu ya Seksheni ya Miundombinu:

  • Kuratibu utekelezaji wa Sera, Sheria, Kanuni na Viwango katika nyanja za Barabara, Majengo, Nishati, Upimaji, Ardhi na Mipangomiji
  • Kuzijengea uwezo Mamlaka za Serikali za Mitaa katika nyanja za Barabara, Majengo, Nishati, Upimaji, Ardhi na Mipangomiji
  • Kuwasiliana/kuwa daraja kuunganisha baina ya Mamlaka zinazohusika kwenye Serikali Kuu na Mamlaka za Serikali za Mitaa juu ya masuala ya Ujenzi
  • Kushauri juu ya Masuala ya barabara, Nishati, Ujenzi, Viwanja na uboreshaji mifumo
  • Kusimamia na kushauri juu ya kazi za Ujenzi zinazotekelezwa ndani ya Mkoa
  • Kuzisaidia Mamlaka za Serikali za Mitaa kutwaa ardhi kwa ajili ya matumizi ya Serikali Kuu
  • Kuandaa ramani kwa ajili ya mipangomiji
  • Kumshauri Katibu Tawala wa Mkoa juu ya Tathimini ya Athari za Kimazingira
  • Kuzishauri Mamlaka za Serikali za Mitaa katika kuendeleza maeneo ya wanyamapori

MiradiI mikubwa inayoendelea kutekelezwa mkoani Rukwa ni pamoja na Sumbawanga – Namanyere – Mpanda (km 245) na Sumbawanga – Matai – Kasanga Port (112 km) road.•Mradi wa Sumbawanga – Namanyere – Mpanda umegawanya katika sehemu mbili: Sehemu ya 1: Sumbaanga – Chala – Kanazi (km 75.0) na Sehemu ya 2: Kanazi – Kizi – Kibaoni (km 76.6)

  1. Sehemu ya Sumbawanga – Chala – Kanazi (km 75.0)  inajengwa na Mkandarasi Jiangxi Geo- Engineering (Group) Corporation kwa gharama ya TShs.78,840.6milioni. Mradi unaendelea vizuri kwani km 53.3  zimekamilika kujengwa kwa kiwango cha lami na maendeleo ya kazi yamefikia asilimia 90. Kazi inatarajiwa kukamilika mwezi Septemba 2017
  2. .Sehemu ya Kanazi – Kizi – Kibaoni (76.6 km) inayojengwa na Mkandarasi China Hunan Construction Engineering Group kwa gharama ya TShs.82,841.8 milioni, inahusisha sehemu tatu za: Kanazi – Kizi (km 46.7), Namanyere Link (km 1.2) na Kizi – Kibaoni Spur (km 28.3) kati ya hizo km 8.0  ziko katika mkoa wa Rukwa na km 20.3 zilizobaki ziko mkoa wa Katavi.
  3. Sehemu ya Kanazi – Kizi – Kibaoni (km 76.6) imekamilika kujengwa kwa kiwango cha lami kwa asilmia 100 kwani km 76.22 zote zimejengwa kwa kiwango cha lami. Mradi uko chini ya matazamio kwa muda wa mwaka mmoja kabla ya kukabidhiwa TANROADS.
  4. Mradi wa ujenzi wa barabara ya Sumbawanga – Matai – Kasanga Port (km 112.0) kwa kiwango cha lami unatekelezwa kwa njia ya Sanifu na Kujenga (Design and Build) na Mkandarasi China Railway15 Bureau Group na Newcentry JV kwa gharama ya TShs. 133,286.603 milioni.•Hadi 30 Juni 2017,km 71.4 zimekalika kujengwa kwa kiwango cha lami sawa na asilimia  66.7.

Matangazo

  • Bei ya Mbolea za Rukuzu kwa Wakulima August 31, 2022
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi April 20, 2022
  • Hotuba ya Bajeti ya WN -OR TAMISEMI 2022/23 April 20, 2022
  • Kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC) October 09, 2018
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RAS Mchatta akagua miradi

    January 26, 2023
  • Wadau wa Elimu

    January 15, 2023
  • Ruwasa

    January 03, 2023
  • Waziri Mkuu Aanza Ziara Rukwa

    December 14, 2022
  • Angalia Zote

Video

Serikali Kuimarisha mahusiano na Sekta Binafsi
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miundombinu ya Rukwa
  • Uvuvi
  • Mikakati ya Mkoa
  • Industries
  • Madini
  • Speeches
  • Huduma za Kilimo
  • Regional History
  • Hotuba

Viunganishi Linganifu

  • Pakua Salaryslip yako hapa
  • Idara ya Takwimu (NBS)
  • Kilio cha Wananchi kinasikilizwa
  • Watumishi portal
  • Tafuta ajira Serikalini
  • Pata kila kitu kutoka serikalini

World visitors tracker

world map hits counter

Wapitiaji

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 1 Barabara ya Mkoani

    Sanduku la barua: Box 128 Sumbawanga, 55180 RUKWA

    Simu: 025 280 2137

    Simu: 0739862632

    barua pepe: ras@rukwa.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa