Mkoa wa Rukwa una Halmashauri za Wilaya tatu na Manispaa Moja. Halmashauri za Wilaya ni Kalambo, Sumbawanga na Nkasi ambazo zinaongozwa na Wenyeviti wa Halmashauri na Manispaa ya Sumbawanga inongozwa na Mstahiki Meya, kwa kushirikiana na Wakurugenzi ambao ni Watendaji wakuu wa Halmashauri husika.
Halmashauri hutoa huduma za kiuchumi zikiwepo Kilimo, Mifugo, Misitu, Uvuvi, Miundombinu, Huduma za jamii kama Afya, Maji, Elimu, Maeneo ya burudani, Mazishi, Mipangomiji, Kutunza mazingira, Ustawi wa jamii, Ushirika na mambo mengine yanayoihusu jamii na Taifa kwa ujumla.
Halmashauri zimeanzishwa chini ya sheria za Mamlaka za Miji (Local Government Urban Authorities Act. 1982). Majukumu makuu ya Serikali za Mitaa yaliyofafanuliwa na sheria hiyo ni kama ifuatavyo:-
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 1 Barabara ya Mkoani
Sanduku la barua: Box 128 Sumbawanga, 55180 RUKWA
Simu: 025 280 2137
Simu: 0739862632
barua pepe: ras@rukwa.go.tz
Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa