• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
Rukwa Region
Rukwa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Rukwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Huduma za Kisheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Sumbawanga
    • Wilaya ya Nkasi
    • Wilaya ya Kalambo
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Nkasi
    • H/Wilaya ya Kalambo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Utalii
    • Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Miundombinu ya Rukwa
  • Huduma zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Livestocks
    • Huduma za Uvuvi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Huduma za Kisheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Fedha
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
    • Waliofaulu na Waliochaguliwa Shule

Baraza la Wafanyakazi

imewekwa Tar: October 25th, 2022

MCHATTA:  MIFUMO RASMI ITUMIKE KUBORESHA KAZI ZA SERIKALI

Na. OMM Rukwa

Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa Rashid Mchatta amewataka watumishi wa umma kutumika mifumo rasmi ya uendeshaji shughuli za serikali ikiwemo mabaraza ya wafanyakazi kuongeza tija mahala pa kazi.

Akifungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa leo (Jumanne Oktoba 25, 2022) mjini Sumbawanga, Mchatta amesema ni wajibu wao kuzingatia taratibu za utumishi wa umma.

“Tutumie mifumo rasmi ikiwemo mabaraza ya wafanyakazi kutoa mchango wa kuboresha utendaji kazi wa serikali. Kila mmoja wenu anapaswa kujua dira na mwelekeo wa taasisi ili kufikia malengo yaliyokusudiwa”alisisitiza Mchatta.

Katika kikao hicho, Mchatta amewataka watumishi hao kuelewa dira ya mkoa huo ili wachangie kuleta maendeleo kwa ustawi wa wananchi ambapo amesisitiza pia kudumisha nidhamu mahala pa kazi.

Mchatta aliongeza kusema “nidhamu, maadili na utaratibu wa kufuata sheria, taratibu na kanuni kwa watumishi wa umma ni jambo muhimu ili kuleta ustawi wa taasisi”

Kuhusu utekelezaji wa miradi ya maendeleo Mchatta ametoa wito kwa wakuu wa idara na vitengo pamoja na Makatibu Tawala Wilaya kuendelea kufanya usimamizi wa karibu na kuhakikisha ifikapo Mwisho wa mwaka  huu wa fedha ziwe zimetumika kwa mujibu wa sheria.

Kwa upande wake Mwakilishi wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya (TUGHE) Mkoa wa Rukwa  Lucy Mjema alipongeza Sekretariati ya mkoa wa Rukwa kwa kufanya vikao vya baraza ya wafanyakazi kwa muda uliopangwa hatua inayosaidia kuongeza tija mahala pa kazi na kupunguza changamoto za watumishi.

Kikao hicho cha Baraza la Wafanyakazi kimehudhuriwa na wajumbe toka wilaya za Kalambo, Nkasi na Sumbawanga ambapo kilijadili na kupokea taarifa kuhusu bajeti ya mwaka 2022/23 .

Mwisho.

Matangazo

  • RATIBA YA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA 2025 April 15, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 04, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA DARASA LA NNE 2024 January 04, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONGORO AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO, ARIDHISHWA NA KASI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA UMEME

    May 05, 2025
  • JAMII YAASWA KUJENGA UTAMADUNI WA KUWAHUDUMIA WAZEE

    March 19, 2025
  • KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA TAMISEMI YARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI MKOA WA RUKWA

    January 09, 2025
  • RAIS SAMIA ATOA ZAWADI ZA MSIMU WA SIKUKUU WA MWAKA MPYA KWA WATOTO YATIMA NA WENYE MAHITAJI MAALUM MKOANI RUKWA

    December 31, 2024
  • Angalia Zote

Video

LIVE- WAZIRI MCHENGERWA ANATAO TANGAZO LA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miundombinu ya Rukwa
  • Uvuvi
  • Mikakati ya Mkoa
  • Industries
  • Madini
  • Speeches
  • Huduma za Kilimo
  • Regional History
  • Hotuba

Viunganishi Linganifu

  • Pakua Salaryslip yako hapa
  • Idara ya Takwimu (NBS)
  • Mfumo wa Kutuma, Kupokea na kufuatilia Malalamiko, Mapendekezo, Maulizo na Pongezi
  • Watumishi portal
  • Tafuta ajira Serikalini
  • Pata kila kitu kutoka serikalini

World visitors tracker

world map hits counter

Wapitiaji

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa