• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
Rukwa Region
Rukwa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Rukwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Huduma za Kisheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Sumbawanga
    • Wilaya ya Nkasi
    • Wilaya ya Kalambo
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Nkasi
    • H/Wilaya ya Kalambo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Utalii
    • Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Miundombinu ya Rukwa
  • Huduma zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Livestocks
    • Huduma za Uvuvi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Huduma za Kisheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Fedha
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
    • Waliofaulu na Waliochaguliwa Shule

KATIBU WA AFYA AFARIKI KWATUMBUKIA KWENYE KISIMA

imewekwa Tar: January 30th, 2021

KATIBU wa afya wa halmashauri ya wilaya Nkasi Ibrahimu Kashatila (29) amefariki dunia baada ya kutumbukia kwenye kisima kilichopo mjini Namanyere.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na kaimu kamanda wa Polisi mkoani  Rukwa Theopista Mallya ni kuwa taarifa za kupotea kwa marehemu zilitolewa na mkewe January 23,2021 na juhudi za kumtafuta ziliendelea na ndipo January  27 majira ya saa 11:30 jioni zilitolewa taarifa za mwili wa kijana huyo kupatikana kwenye kisima akiwa amekufa.

Amesema kuwa marehemu alitoka nyumbani kwake januari 23 ya mwaka huu akienda matembezini na kuwa toka siku hiyo hakuonekana nyumbani wala kazini kwake na taarifa zilitolewa Polisi na juhudi za kumtafuta ziliendelea hadi pale mwili wake ulipopatikana kwenye kisima kilicho karibu na bar moja mjini Namanyere inakosadikika kuwa  alikua wakinywa pombe na ulipatikana baada ya siku 4.

Kamanda Mallya alisema kuwa uchunguzi wa jeshi la Polisi unaendelea ili kuweza kubaini chanzo cha kifo hicho na kuwa wao kama Polisi kwa sasa wanasubiri taarifa ya kitabibu ambayo wataiunganisha na taarifa za kiuchunguzi.

Alisema kuwa sasa  ni mapema sana kwao kuzungumza mambo kwa kina lakini uchunguzi ukikamilika watatoa taarifa nzima  ya tukio hilo.

Ndugu wa marehemu   walikabidhiwa mwili kwa ajiri ya mazishi baada ya hatua za awali za uchunguzi kukamilika

Mwisho    

Na Israel  Mwaisaka,Nkasi                                 

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2025 July 08, 2025
  • RATIBA YA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA 2025 April 15, 2025
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA - 2025, KULINGANA NA MATOKEO YALIYOTANGAZWA NA BARAZA LA MITIHANI LA TAIFA (NECTA) June 04, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 04, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • TUME YA UCHAGUZI YAZITAKA TAASISI ZA ELIMU YA MPIGA KURA KUZINGATIA SHERIA NA MAELEKEZO

    July 31, 2025
  • RUKWA YAENDELEA KUCHUKUA HATUA THABITI KUDHIBITI VIFO VYA MAMA NA MTOTO

    July 28, 2025
  • RUKWA YAFANYA KIKAO CHA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA PROGRAMU JUMUISHI YA TAIFA YA MALEZI, MAKUZI NA MAENDELEO YA AWALI YA MTOTO

    July 24, 2025
  • INEC YAWATAKA WATENDAJI WA UCHAGUZI KUZINGATIA VIAPO VYAO NA MAADILI YA KAZI

    July 23, 2025
  • Angalia Zote

Video

LIVE- WAZIRI MCHENGERWA ANATAO TANGAZO LA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miundombinu ya Rukwa
  • Uvuvi
  • Mikakati ya Mkoa
  • Industries
  • Madini
  • Speeches
  • Huduma za Kilimo
  • Regional History
  • Hotuba

Viunganishi Linganifu

  • Pakua Salaryslip yako hapa
  • Idara ya Takwimu (NBS)
  • Mfumo wa Kutuma, Kupokea na kufuatilia Malalamiko, Mapendekezo, Maulizo na Pongezi
  • Watumishi portal
  • Tafuta ajira Serikalini
  • Pata kila kitu kutoka serikalini

World visitors tracker

world map hits counter

Wapitiaji

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa