Mkoa wa Rukwa kuadhimisha Siku ya UKIMWI Duniani tarehe 01 Desemba 2022 katika viwanja vya Polisi Kirando wilaya ya Nkasi.
Wananchi wote mnaalikwa kushiriki ambapo shughuli za :
1- Upimaji VVU/UKIMWI zitafanyika
2- Uchangiaji Damu
3- Upimaji saratani ya mlango wa kizazi
4- Utoaji wa chanjo dhidi ya UVIKO-19
5-Uzinduzi wa kampeni ya chanjo ya polio awamu ya nne
6- Utoaji wa elimu ya lishe bora
Mgeni rasmi kwenye maadhimisho hayo atakuwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhe. Queen Sendiga
Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa