• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
Rukwa Region
Rukwa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Rukwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Huduma za Kisheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Sumbawanga
    • Wilaya ya Nkasi
    • Wilaya ya Kalambo
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Nkasi
    • H/Wilaya ya Kalambo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Utalii
    • Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Miundombinu ya Rukwa
  • Huduma zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Livestocks
    • Huduma za Uvuvi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Huduma za Kisheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Fedha
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
    • Waliofaulu na Waliochaguliwa Shule

MAJALIWA AZINDUA BANDARI YA KABWE WILAYANI NKANSI

imewekwa Tar: July 5th, 2020

WAZIRI MKUU,Kassim Majaliwa amezindua  Bandari ya Kabwe uliyojengwa na kampuni yaKitanzania ya Sumry’s Enterprises kwa thamani ya sh. bilioni saba.

Ujenzi huo wa Bandari ya Kabwe yenye eneo la ukubwa wa mitaza mraba 10,864 unalenga kuongeza tija katika shughuli za bandari kwenyemwambao wa Ziwa Tanganyika na kupanua fursa za kibiashara.

Waziri Mkuu amezindua bandari hiyo leo (Jumapili, Julai 05,2020) wakati akiwa katika ziara  ya kikazi mkoani Rukwa. Bandari hiyoimenjengwa Kata ya Kabwe, wilayani Nkasi, Rukwa.

 Waziri Mkuu ameipongeza kampuni ya Sumry’sEnterprises kwa kujenga vizuri mradi huo . “Rais wetu Dkt. Magufuli amesemaWatanzania tunaweza na huyo mkandarasi amedhirisha hilo.”

“Hizi ni jitihada zinazofanywa na Serikali ya Awamu ya Tanoinayoongozwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli za kuhakikisha maendeleleoyanawafikia wananchi wote bila ya ubaguzi.”

Waziri Mkuu ametumia fursa hiyo kuwasisitiza wananchiwashirikiane na Serikali katika kulinda miundombinu ya mradi huo  iliiweze kudumu.

“Hatuna historia mbaya hapa, endeleeni kudumisha uaminifuna uadilifu ili bandari hii iwe ni mahali salama kwa abiria na mizigo. Bandarihii itaongeza fursa kibiashara kati yetu na nchi jirani.”

Kwa upande wake, Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlakaya Bandari Tanzania (TPA) Dkt. Baraka Mdima amesema mradi huo utakuwa chachu yakukuza uchumi na kuboresha usafiri.

“Mradi huu wa bandari utaboresha usafiri wa majini kwawananchi waishio kandokando ya Ziwa Tanganyika hususani wilaya ya Nkasi nakatika kata ya Kabwe na vijiji vinavyoizunguka.”

Amesema mradi umehusisha ujenzi wa gati la kupaki melilenye uwezo wa kuhudumia meli kubwa za kubeba abiria na mizigo zenye urefu hadimita 75 na miundombinu mingine ya bandari kama jengo la kupumzikia abiria,majengo ya ofisi, nyumba za kuishi watumishi na eneo la mgahawa.

Matangazo

  • RATIBA YA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA 2025 April 15, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 04, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA DARASA LA NNE 2024 January 04, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONGORO AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO, ARIDHISHWA NA KASI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA UMEME

    May 05, 2025
  • JAMII YAASWA KUJENGA UTAMADUNI WA KUWAHUDUMIA WAZEE

    March 19, 2025
  • KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA TAMISEMI YARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI MKOA WA RUKWA

    January 09, 2025
  • RAIS SAMIA ATOA ZAWADI ZA MSIMU WA SIKUKUU WA MWAKA MPYA KWA WATOTO YATIMA NA WENYE MAHITAJI MAALUM MKOANI RUKWA

    December 31, 2024
  • Angalia Zote

Video

LIVE- WAZIRI MCHENGERWA ANATAO TANGAZO LA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miundombinu ya Rukwa
  • Uvuvi
  • Mikakati ya Mkoa
  • Industries
  • Madini
  • Speeches
  • Huduma za Kilimo
  • Regional History
  • Hotuba

Viunganishi Linganifu

  • Pakua Salaryslip yako hapa
  • Idara ya Takwimu (NBS)
  • Mfumo wa Kutuma, Kupokea na kufuatilia Malalamiko, Mapendekezo, Maulizo na Pongezi
  • Watumishi portal
  • Tafuta ajira Serikalini
  • Pata kila kitu kutoka serikalini

World visitors tracker

world map hits counter

Wapitiaji

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa