• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
Rukwa Region
Rukwa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Rukwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Huduma za Kisheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Sumbawanga
    • Wilaya ya Nkasi
    • Wilaya ya Kalambo
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Nkasi
    • H/Wilaya ya Kalambo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Utalii
    • Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Miundombinu ya Rukwa
  • Huduma zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Livestocks
    • Huduma za Uvuvi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Huduma za Kisheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Fedha
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
    • Waliofaulu na Waliochaguliwa Shule

MILIONI 250 ZAFANYA MAGEUZI MAKUBWA MIUNDOMBINU SEKTA YA AFYA SENGA

imewekwa Tar: June 30th, 2024


Serikali imetumia kiasi cha kiasi cha Shilingi Milioni 250 kwa ajili ya ujenzi wa majengo mapya ya wagonjwa wa nje (OPD)  na Maabara kwa ajili ya Kituo cha Afya cha Kata ya Senga.

Hatua hiyo inatajwa  kupunguza gharama na umbali wa takribani kilomita 15 ambao wananchi walilazimika kusafiri awali kufuata huduma za afya katika mji wa Sumbawanga.

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Mheshimiwa Charles Makongoro Nyerere, akiwa katika ziara ya ukaguzi wa miradi ya Manispaa ya Sumbawanga Juni 28 2024, ameupongeza uongozi wa Kata ya Senga na Halmashauri kwa usimamizi mzuri wa fedha za umma.

Aidha, ameishukuru Serikali na wadau wa maendeleo kwa kusaidia juhudi za kuboresha miundombinu ya afya katika eneo hilo

Kata ya Senga inatarajia kupokea Shilingi Milioni 250 zaidi katika Mwaka wa Fedha 2024/2025 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa Kituo cha Afya.

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2025 July 08, 2025
  • RATIBA YA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA 2025 April 15, 2025
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA - 2025, KULINGANA NA MATOKEO YALIYOTANGAZWA NA BARAZA LA MITIHANI LA TAIFA (NECTA) June 04, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 04, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RUKWA YAENDELEA KUCHUKUA HATUA THABITI KUDHIBITI VIFO VYA MAMA NA MTOTO

    July 28, 2025
  • RUKWA YAFANYA KIKAO CHA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA PROGRAMU JUMUISHI YA TAIFA YA MALEZI, MAKUZI NA MAENDELEO YA AWALI YA MTOTO

    July 24, 2025
  • INEC YAWATAKA WATENDAJI WA UCHAGUZI KUZINGATIA VIAPO VYAO NA MAADILI YA KAZI

    July 23, 2025
  • INEC YAWATAKA WATENDAJI WA UCHAGUZI KUZINGATIA VIAPO VYAO NA MAADILI YA KAZI

    July 23, 2025
  • Angalia Zote

Video

LIVE- WAZIRI MCHENGERWA ANATAO TANGAZO LA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miundombinu ya Rukwa
  • Uvuvi
  • Mikakati ya Mkoa
  • Industries
  • Madini
  • Speeches
  • Huduma za Kilimo
  • Regional History
  • Hotuba

Viunganishi Linganifu

  • Pakua Salaryslip yako hapa
  • Idara ya Takwimu (NBS)
  • Mfumo wa Kutuma, Kupokea na kufuatilia Malalamiko, Mapendekezo, Maulizo na Pongezi
  • Watumishi portal
  • Tafuta ajira Serikalini
  • Pata kila kitu kutoka serikalini

World visitors tracker

world map hits counter

Wapitiaji

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa