• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
Rukwa Region
Rukwa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Rukwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Huduma za Kisheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Sumbawanga
    • Wilaya ya Nkasi
    • Wilaya ya Kalambo
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Nkasi
    • H/Wilaya ya Kalambo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Utalii
    • Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Miundombinu ya Rukwa
  • Huduma zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Livestocks
    • Huduma za Uvuvi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Huduma za Kisheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Fedha
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
    • Waliofaulu na Waliochaguliwa Shule

Minada ya mifugo Rukwa yawaingizia wafugaji shilingi bilioni 18.8

imewekwa Tar: April 26th, 2019

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo ameendelea kuwasisitiza wafugaji kuendelea kufuga kisasa baada ya biashara ya mifugo katika minada ya awali na ule wa mpakani na nchi ya Zambia katika Kijiji cha Kasesya kuwaingizia wafugaji hao shilingi 18,890,665,000 kutokana na kuuza ng’ombe 35,532, mbuzi 2,307 na kondoo 631.

Ameyasema hayo alipokuwa akiwasilisha utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenye kiako cha Kamati ya Siasa ya Mkoa kwa kipindi cha mwezi July hadi Disemba, 2018 na kuhudhuriwa na wataalamu kutoka Halmashauri, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa pamoja na wakuu wa Taasisi na Mamlaka za Serikali zilizopo katika Mkoa.

Aidha, amepongeza ongezeko la makusanyo yay a vibali vya kusafirishia mifugo kwa silimia 33.6 kwa mwaka wa fedha 2018/2019, mafanikio ambayo yametokana na udhibiti wa pamoja wa Uongozi wa Mkoa pamoja na Wizara ya Mifugo na Uvuvi.

“Mapato ya Serikali Kuu yanayotarajiwa kukusanywa kwa Mwaka wa Fedha 2018/ 2019 kutokana na ushuru wa vibali vya kusafirisha Mifugo ni Shilingi 80,000,000/=. Hadi kufikia tarehe 31 Desemba, 2018 Mapato ya Serikali Kuu yaliyopatikana kutokana na ushuru wa vibali vya kusafirisha Mifugo ni Shilingi 120, 44,500/=.  Makusanyo hayo ni zaidi ya Shilingi 40,444,500/= ya lengo la Mwaka,”Alisema.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Rukwa Reiner Lukala amewapongeza wataalamu wanaoendelea kuitekeleza Ilani ya CCM kwa umakini pamoja na ushirikiano wanaoutoa katika kupokea ushauri na kuufanyia kazi pale inapostahili.

“Kwa wataalamu nichukue fursa hii kuwashukuru kwa jinsi mnavyotumia wakati wenu, elimu yenu, ujuzi wenu na muda wenu kwa kuendelea kufanya kazi kubwa ya utekelezaji wa Ilani, Sura ya 8 ya Ilani ya CCM ya Mwaka 2015 inatuelekeza sisi Chama cha Mapinduzi kuwasimamia ninyi kuona mnafanya nini, lakini kwa niaba ya CCM nichukue fursa hii kuwapongeza sana kwamba mpaka wakati huu tunaenda vizuri,” Alisema.

Katika kikao hicho cha kuwasilisha utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi Mkuu wa mkoa wa Rukwa alipewa cheti cha kutambuliwa juhudi zake za kuhakikisha anatekeleza ilani hiyo hatua kwa hatua na kwa wakati kupitia ofisi yake ya Mkoa pamoja na kuzisimamia kikamilifu halmashauri nne za mkoa huo.

Matangazo

  • RATIBA YA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA 2025 April 15, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 04, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA DARASA LA NNE 2024 January 04, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONGORO AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO, ARIDHISHWA NA KASI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA UMEME

    May 05, 2025
  • JAMII YAASWA KUJENGA UTAMADUNI WA KUWAHUDUMIA WAZEE

    March 19, 2025
  • KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA TAMISEMI YARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI MKOA WA RUKWA

    January 09, 2025
  • RAIS SAMIA ATOA ZAWADI ZA MSIMU WA SIKUKUU WA MWAKA MPYA KWA WATOTO YATIMA NA WENYE MAHITAJI MAALUM MKOANI RUKWA

    December 31, 2024
  • Angalia Zote

Video

LIVE- WAZIRI MCHENGERWA ANATAO TANGAZO LA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miundombinu ya Rukwa
  • Uvuvi
  • Mikakati ya Mkoa
  • Industries
  • Madini
  • Speeches
  • Huduma za Kilimo
  • Regional History
  • Hotuba

Viunganishi Linganifu

  • Pakua Salaryslip yako hapa
  • Idara ya Takwimu (NBS)
  • Mfumo wa Kutuma, Kupokea na kufuatilia Malalamiko, Mapendekezo, Maulizo na Pongezi
  • Watumishi portal
  • Tafuta ajira Serikalini
  • Pata kila kitu kutoka serikalini

World visitors tracker

world map hits counter

Wapitiaji

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa