• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
Rukwa Region
Rukwa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Rukwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Huduma za Kisheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Sumbawanga
    • Wilaya ya Nkasi
    • Wilaya ya Kalambo
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Nkasi
    • H/Wilaya ya Kalambo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Utalii
    • Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Miundombinu ya Rukwa
  • Huduma zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Livestocks
    • Huduma za Uvuvi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Huduma za Kisheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Fedha
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
    • Waliofaulu na Waliochaguliwa Shule

MWENGE WA UHURU 2023 WAZINDUA MIRADI YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 2.4 WILAYANI NKASI

imewekwa Tar: August 29th, 2023


Mwenge wa Uhuru mwaka 2023 ukiongozwa na Ndugu Abdalla Shaib Kaim Leo Agosti 29 2023 umezindua miradi 03, umeweka jiwe la msingi Mradi 01na umekagua mradi 01 katika Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi yenye thamani ya Shilingi Bilioni 2.4

Miradi iliyozindundiliwa ni  miradi  wa Maji- Lyazumbi wenye thamani ya Shilingi Milioni 331,Mradi endelevu wa maji na usafi wa mazingirana maboresho ya wodi ya wazazi katika Zahanati ya Paramawe wenye thamani ya Shilingi Milioni 65 , mradi wa ujenzi wa vyumba vya madarasa 10 shule ya Sekondari Kirando  yenye thamani ya shilingi Milioni 201, umeweka jiwe la msingi daraja la Kivunja lenye Thamani ya Shilingi Milioni Bilioni 1.6  na kukagua  na kutembelea shuguli za vijana.

Akiongea na hadhara ya wananchi Wilayani Nkasi katika Kata ya Kirando katika viwanja vya Polisi, Ndugu Abdala Shaibu Kaim ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi, RUWASA na TARURA  kwa kuwa na miradi mizuri ambayo inazingatia ubora pamoja na thamani ya fedha huku akisisitiza kuhakikisha maelekezo yote yaliyotolewa yanafanyiwa kazi.

Akiwa katika chanzo cha Maji  Bwawa la Mfili  ameridhishwa na kuwapongeza wananchi wa Wilaya ya Nkasi kwa  namna ambavyo wametekeleza kwa vitendo kauli mbiu ya Mbio za Mwenge wa Uhuru 2023 isemayo”Tunza Mazingira, Okoa vyanzo vya Maji kwa Ustawi wa Viumba Haina Uchumi wa Taifa”.


Pia amewataka wananchi kutoa ushirikiano kwa Taasisi ya Kupambana na Kuzia Rushwa nchini kwa kutoa ushahidi Mahakamani ili kuunga juhudi za Serikali katika kutokomeza Rushwa nchini ili kuweza kuteleza kwa vitendo ujumbe wa Mwenge 2023 unaosema “ Kuzuia Rushwa ni Jukumu Lako, Langu tutimize Wajibu wetu.

Matangazo

  • RATIBA YA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA 2025 April 15, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 04, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA DARASA LA NNE 2024 January 04, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONGORO AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO, ARIDHISHWA NA KASI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA UMEME

    May 05, 2025
  • JAMII YAASWA KUJENGA UTAMADUNI WA KUWAHUDUMIA WAZEE

    March 19, 2025
  • KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA TAMISEMI YARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI MKOA WA RUKWA

    January 09, 2025
  • RAIS SAMIA ATOA ZAWADI ZA MSIMU WA SIKUKUU WA MWAKA MPYA KWA WATOTO YATIMA NA WENYE MAHITAJI MAALUM MKOANI RUKWA

    December 31, 2024
  • Angalia Zote

Video

LIVE- WAZIRI MCHENGERWA ANATAO TANGAZO LA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miundombinu ya Rukwa
  • Uvuvi
  • Mikakati ya Mkoa
  • Industries
  • Madini
  • Speeches
  • Huduma za Kilimo
  • Regional History
  • Hotuba

Viunganishi Linganifu

  • Pakua Salaryslip yako hapa
  • Idara ya Takwimu (NBS)
  • Mfumo wa Kutuma, Kupokea na kufuatilia Malalamiko, Mapendekezo, Maulizo na Pongezi
  • Watumishi portal
  • Tafuta ajira Serikalini
  • Pata kila kitu kutoka serikalini

World visitors tracker

world map hits counter

Wapitiaji

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa