Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhe. Queen Sendiga kufanya ziara ya kikazi Wilaya ya Kalambo tarehe 20 Oktoba 2022 kwa ajili ya kukagua miradi ya maendeleo.