• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
Rukwa Region
Rukwa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Rukwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Huduma za Kisheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Sumbawanga
    • Wilaya ya Nkasi
    • Wilaya ya Kalambo
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Nkasi
    • H/Wilaya ya Kalambo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Utalii
    • Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Miundombinu ya Rukwa
  • Huduma zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Livestocks
    • Huduma za Uvuvi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Huduma za Kisheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Fedha
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
    • Waliofaulu na Waliochaguliwa Shule

RC Rukwa Ataka Fedha za Sensa Zisimamiwe

imewekwa Tar: August 15th, 2022

FEDHA ZA SENSA ZISIMAMIWE VIZURI- RC SENDIGA 

Na.OMM Rukwa

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Queen Sendiga ametoa agizo kwa wakurugenzi wa Halmashauri za Rukwa kusimamia kwa karibu matumizi ya fedha za zoezi la Sensa ikiwemo kuhakikisha makarani wanaoendelea na mafunzo wanalipwa kwa wakati.

Ametoa agizo hilo leo (12.08.2022) alipokutana na Waratibu wa Sensa ya Watu na Makazi toka katika halmashauri za Sumbawanga, Manispaa, Kalambo na Nkasi kikao kilichofanyika ofisini kwake.

" Fedha zitoke kuanzia leo ili wakarani na wengine wanaoendelea na mafunzo walipwe. Halmashauri nitakayosikia kuna malalamiko nitachukua hatua kwa mhusika " alisema Sendiga.

Katika kikao hicho Mkuu huyo wa Mkoa alisisitiza kuwa serikali ya awamu ya sita imejipanga kuona zoezi la sensa linafanikiwa na kuwa watu wote wanahesabiwa ambapo pia amemwelekeza Katibu Tawala Mkoa huo kuhakikisha vyombo vya usafiri ikiwemo magari na mafuta vinapatikana wakati wote wa zoezi hili.

Sendiga amewahakikishia wana Rukwa  kuwa changamoto zote zinafanyiwa kazi ili watu wote wahesabiwe siku ya tarehe 23 Agosti mwaka huu ili serikali ipate takwimu sahihi za idadi ya Watu.

Mkuu huyo wa Mkoa ameonya dhidi ya wale watakaokwamisha zoezi la Sensa kwa sababu zozote ikiwemo imani za dini kuwa Sheria itachukua mkondo wake kwani viashiria vimeanza kujitokeza katika baadhi ya maeneo ya Wilaya za Kalambo na Nkasi.

Kwa upande wake Mratibu wa Sensa ya Watu na Makazi mkoa wa Rukwa Adam Ramadhan alisema mafunzo kwa makarani,  wasimamizi wa maudhui na wasimamizi wa TEHAMA yanaendelea kwenye vituo 17 kote katika halmashauri zote nne .

Adam aliongeza kusema makarani wote watapewa mikataba maalum pamoja na kula kiapo cha uadilifu ili wasimamie zoezi la sense ya watu na makazi kwa mujibu wa miongozo ya serikali iliyowekwa.

Mratibu huo alisema pia vifaa muhimu ikiwemo vishikwambi 4,220 vimekwisha gawiwa kwa washiriki wa mafunzo vikitumika kufanya maandalizi ya zoezi hilo la sensa.

Mwisho.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAILI October 24, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA - MAPOKEZI YA FEDHA KIASI CHA SHILINGI BILIONI 3.8 KWA AJILI YA SEKTA YA AFYA October 05, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI- RUKWA September 27, 2023
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2023 July 13, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • UMOJA NA MSHIKAMANO SILAHA ZA MAFANIKIO MIAKA 62 YA UHURU

    December 09, 2023
  • MAKONGORO AWATAKA WADAU KUILIPA TEMESA KWA WAKATI

    November 21, 2023
  • MAPAMBANO DHIDI YA MALARIA; WANAFUNZI RUKWA KUGAWIWA VYANDARUA

    October 19, 2023
  • MAKONGORO ATAKA MIRADI IKAMILIKE KABLA YA OKTOBA 30, 2023.

    October 18, 2023
  • Angalia Zote

Video

Serikali Kuimarisha mahusiano na Sekta Binafsi
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miundombinu ya Rukwa
  • Uvuvi
  • Mikakati ya Mkoa
  • Industries
  • Madini
  • Speeches
  • Huduma za Kilimo
  • Regional History
  • Hotuba

Viunganishi Linganifu

  • Pakua Salaryslip yako hapa
  • Idara ya Takwimu (NBS)
  • Kilio cha Wananchi kinasikilizwa
  • Watumishi portal
  • Tafuta ajira Serikalini
  • Pata kila kitu kutoka serikalini

World visitors tracker

world map hits counter

Wapitiaji

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 1 Barabara ya Mkoani

    Sanduku la barua: Box 128 Sumbawanga, 55180 RUKWA

    Simu: 025 280 2137

    Simu: 0735019734

    barua pepe: ras@rukwa.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa