• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
Rukwa Region
Rukwa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Rukwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Huduma za Kisheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Sumbawanga
    • Wilaya ya Nkasi
    • Wilaya ya Kalambo
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Nkasi
    • H/Wilaya ya Kalambo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Utalii
    • Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Miundombinu ya Rukwa
  • Huduma zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Livestocks
    • Huduma za Uvuvi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Huduma za Kisheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Fedha
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
    • Waliofaulu na Waliochaguliwa Shule

RC Rukwa azitaka halmashauri kuwawezesha wakulima kuwa na kilimo cha ushindani

imewekwa Tar: April 3rd, 2017

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa kamishna Mstaafu Zelote Stephen amezitaka Halmashauri za Mkoani Rukwa kuwawezesha wakulima pamoja na wafanyabiashara kuingia katika ushindani wa kibiashara na wafanyabiashara wa Zambia.

Alisema hayo leo (tarehe 3/4/2017) alipokutana na waandishi wa habari na kuwaelezea maarifa aliyoyapata na fursa alizoziona katika safari yake aliyohudhuria Mkutano wa mahusiano ya kibiashara uliofanyika Lusaka, Zambia kwa mwaliko wa 361 Degrees Africa.

Katika mkutano huo Mkuu wa Mkoa alieleza namna wananchi wa Zambia wanavyopenda kununua mazao ya Tanzania na hasa yanayolimwa kutoka katika mikoa waliyopakana nayo ambayo ni Rukwa na Songwe.

“Wazambia wanaupenda sana mchele wa Tanzania, wanausifia sana, kiasi ambacho wakitoka Lusaka kuja maeneo ya karibu na mpaka wa Tunduma ni lazima wabebe vifurushi vya mchele wa kutoka Taanzania,” Zelote alisisitiza.

Mkuu wa Mkoa aliongeza kuwa baadhi ya wadau wa biashara nchini Zambia wameonesha mahitaji yao makubwa kwenye mchele, maharage, alizeti, viazi na samaki wa kukaushwa kwa moshi. 

Vile vile hakusita kutoa wito kwa wananchi wa Mkoa wa Rukwa kuona umuhimu wa kutumia fursa hii kwa kujiunga katika vikundi au ushirika ili kuweza kuboresha uzalishaji na kuongeza mnyororo wa thamani ili kushika soko hilo kwani ni karibu kuliko kutafuta masoko ya mbali.  Na kuongeza kuwa Jambo la muhimu ni kuzingatia suala la ubora na ufungashaji.

"Kwa kuwa tupo katika juhudi za kuhakikisha viwanda vinaanzishwa katika Wilaya zetu natoa wito Wilaya zote zihakikishe zinatengeneza mazingira ya kuwa na viwanda vya uchakataji ili kuepuka kuuza mazao yetu ambayo hayajaongezwa thamani.  Lakini pia nawakaribisha wawezekaji wa nje kwa kuwa tunayo ardhi ya kutosha kujenga viwanda katika Mkoa wetu," Mkuu wa Mkoa alimalizia.


Matangazo

  • RATIBA YA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA 2025 April 15, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 04, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA DARASA LA NNE 2024 January 04, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONGORO AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO, ARIDHISHWA NA KASI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA UMEME

    May 05, 2025
  • JAMII YAASWA KUJENGA UTAMADUNI WA KUWAHUDUMIA WAZEE

    March 19, 2025
  • KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA TAMISEMI YARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI MKOA WA RUKWA

    January 09, 2025
  • RAIS SAMIA ATOA ZAWADI ZA MSIMU WA SIKUKUU WA MWAKA MPYA KWA WATOTO YATIMA NA WENYE MAHITAJI MAALUM MKOANI RUKWA

    December 31, 2024
  • Angalia Zote

Video

LIVE- WAZIRI MCHENGERWA ANATAO TANGAZO LA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miundombinu ya Rukwa
  • Uvuvi
  • Mikakati ya Mkoa
  • Industries
  • Madini
  • Speeches
  • Huduma za Kilimo
  • Regional History
  • Hotuba

Viunganishi Linganifu

  • Pakua Salaryslip yako hapa
  • Idara ya Takwimu (NBS)
  • Mfumo wa Kutuma, Kupokea na kufuatilia Malalamiko, Mapendekezo, Maulizo na Pongezi
  • Watumishi portal
  • Tafuta ajira Serikalini
  • Pata kila kitu kutoka serikalini

World visitors tracker

world map hits counter

Wapitiaji

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa