• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
Rukwa Region
Rukwa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania PMO - Regional Administration and Local Government Mkoa wa Rukwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Huduma za Kisheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Ugavi
      • KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI
      • KITENGO CHA MAENDELEO YA JAMII
  • Wilaya
    • Wilaya ya Sumbawanga
    • Wilaya ya Nkasi
    • Wilaya ya Kalambo
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Nkasi
    • H/Wilaya ya Kalambo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Utalii
    • Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Miundombinu ya Rukwa
  • Huduma zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Livestocks
    • Huduma za Uvuvi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Huduma za Kisheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Fedha
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
    • Waliofaulu na Waliochaguliwa Shule

“Rukwa haina Ebola, Zingatieni mafunzo ili tukae mbali na Ugonjwa huu” RC Rukwa.

imewekwa Tar: May 24th, 2017

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Kamishna Mstaafu Zelote Stephen amewataka wakurufunzi kuzingatia mafunzo ya utumaji wa taarifa za magonjwa kwa kieletroniki (e-idsr) kwa watoa huduma za afya mkoani Rukwa, yanayotolewa na timu maaluma kutoka Wizara ya Afya, maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto yanayotolewa kwa wahumu wa afya wa Mkoa wa Rukwa.

Amesisitiza hayo leo hii alipokuwa akifungua mafunzo yenye kusisitiza  tahadhari ya ugonjwa wa ebola uliopo katika nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kwa wahudumu wa afya 47 wa serikali na vituo binafsi vilivyopo katika Manispaa ya Sumbawanga na kusisitiza kuwa hata wale waliopo katika Halmashauri nyingine tatu zinazoendelea na mafunzo ni wajibu wao kuzingatia hayo.

“Naamini kupitia Mafunzo haya, utumaji wa taarifa kwa njia ya Kielektroniki utatolewa maelekezo ili kuwajengea uwezo watumishi wa afya katika kutuma taarifa sahihi na  kwa haraka kwa wagonjwa watakaohisiwa kuwa na ugonjwa wa Ebola pamoja na magojwa mengine yaliyopewa kipaumbele kama Kipindupindu, Homa ya uti wa mgongo, Kimeta na mengineyo,” Mh. Zelote alisema.

Mh. Zelote aliongeza kuwa mafunzo haya yatawezesha taarifa kutumwa kutoka kwenye kituo cha kutolea huduma moja kwa moja kwenda kwenye Mfumo wa Taarifa za Utoaji wa Huduma za Afya (MTUHA).

Sambamba na utumaji wa taarifa kwenda kwenye mfumo, wakati huo huo taarifa hizo zitakwenda Wilayani, Mkoani hadi Wizarani, hivyo kuwezesha hatua za kudhibiti mlipuko wa ugonjwa kuchukuliwa kwa mapema.

Mkuu wa Mkoa aliendelea kuwatoa hofu wanarukwa na Tanzania kwa ujumla kuwa ugonjwa wa Ebola bado haujahisiwa wala kuthibitishwa katika Mkoa wake na kuamini kuwa usala wa afya wa wanarukwa ni jukumu zito la wanamafunzo hao ambao wananchi watakuwa salama kutokana na juhudi zao za kuripoti hisisa za namna yoyote kuhusu ugonjwa wa Ebola.

“Napenda kuwatoa hofu wananchi wa Mkoa wa Rukwa kuwa, hadi sasa hakuna taarifa ya mgonjwa yeyote ndani ya Mkoa wetu wa Rukwa ambaye anahisiwa au kuthibitishwa kuwa na virusi vya Ebola. Hata hivyo, ni matumaini yangu kuwa, baada ya mafunzo haya, utumaji wa taarifa za magonjwa utaimarika, hasa katika utumaji wa taarifa hizo kwa wakati kutoka vituo vyote vinavyotoa huduma za afya” Mh. Zelote alisema.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI 2025 January 10, 2026
  • MATOKEO YA MTIHANI WA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE 2025 January 10, 2026
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2026 December 06, 2025
  • RATIBA YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE August 20, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • WATUMISHI WA AFYA RUKWA WAHIMIZWA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI KUHUSU BIMA YA AFYA KWA WOTE

    December 17, 2025
  • BODI YA USHAURI YA HOSPITALI YA RUFAA SUMBAWANGA YAZINDULIWA, YAAGIZWA KUIMARISHA USHIRIKIANO NA MENEJIMENTI KUBORESHA HUDUMA.

    November 28, 2025
  • PPRA YAANZA MAFUNZO KUWEZESHA MAKUNDI MAALUM KUSHIRIKI UNUNUZI WA UMMA

    December 25, 2025
  • RC MAKONGORO AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA AMANI RUKWA , ASISITIZA UOMJA NA KULINDA AMANI KWA MAENDELEO YA MKOA

    November 20, 2025
  • Angalia Zote

Video

LIVE- WAZIRI MCHENGERWA ANATAO TANGAZO LA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miundombinu ya Rukwa
  • Uvuvi
  • Mikakati ya Mkoa
  • Industries
  • Madini
  • Speeches
  • Huduma za Kilimo
  • Regional History
  • Hotuba

Viunganishi Linganifu

  • Pakua Salaryslip yako hapa
  • Idara ya Takwimu (NBS)
  • Mfumo wa Kutuma, Kupokea na kufuatilia Malalamiko, Mapendekezo, Maulizo na Pongezi
  • Watumishi portal
  • Tafuta ajira Serikalini
  • Pata kila kitu kutoka serikalini

World visitors tracker

world map hits counter

Wapitiaji

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa