• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
Rukwa Region
Rukwa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Rukwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Huduma za Kisheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Sumbawanga
    • Wilaya ya Nkasi
    • Wilaya ya Kalambo
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Nkasi
    • H/Wilaya ya Kalambo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Utalii
    • Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Miundombinu ya Rukwa
  • Huduma zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Livestocks
    • Huduma za Uvuvi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Huduma za Kisheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Fedha
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
    • Waliofaulu na Waliochaguliwa Shule

RUWASA Kalambo

imewekwa Tar: September 21st, 2022

WATU 3,500 KUNUFAIKA NA MRADI WA MAJI KALAELA WILAYA YA KALAMBO

Na. OMM Rukwa

Wakala wa Majisafi na Usafi wa Mazingia Vijijini (RUWASA) mkoa wa Rukwa imefanikisha upatikanaji wa majisafi na salama karibu na na wananchi kufuatia kukamilika kwa mradi maji wa kijiji cha Kalaela wilaya ya Kalambo utakaohudumia wakazi 3,588.

Akizungumza kwenye hafla ya uwekaji jiwe la msingi la mradi leo (20.09.2022) Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Sahili Geraruma aliwapongeza RUWASA kwa kujenga mradi huo kwa ubora na kuwataka wahakikishe miundombinu iliyojengwa inakuwa imara na kuepusha maji kuvuja.

"Kila tone la maji ni dhahabu hivyo watalaam pamoja na mkandarasi fanyeni jitihada ili eneo lote la mradi pia wananchi sasa wekeni huduma ya maji katika nyumba xenu" alisema Geraruma.

Akitoa taarifa ya mradi huo Meneja wa RUWASA wilaya ya Kalambo Mhandisi Patrick Ndimbo alisema jumla ya shikingi Milioni 152.5 kati ya shilingi Milioni 436.5 zimetumika kujenga mradi mradi unaotekelezwa kupitia fedha za Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO-19.

Mhandisi Ndimbo alieleza kuwa tayari mradi uulianza Februari mwaka huu na umefikia asilimia 90 na huduma ya maji imeanza kupatikana kwa wananchi wa kijiji cha Kalaela na utakamilika mwezi Octoba 2022.

Alitaja kazi zilizokamilika kuwa ni ujenzi wa bomba kuu umbali wa mita 600, ujenzi wa tanki la kuhifadhia maji lita 150,000, ujenzi wa bomb la kusambazia maji umbali wa mita 3,400 na ujenzi wa vituo nane vya kuchotea maji.

Katika hatua nyingine Mwenge wa Uhuru umezindua mradi wa ujenzi vyumba vinne vya madarasa katika shule ya sekondari Mwazye uliogharimu shilingi Milioni Themanini( 80,000,000).

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Kalambo Tano Mwera alisema Mwenge wa Uhuru utakimbizwa na kupitia miradi mitano kwa kuweka mawe ya msingi, kuzindua  na kukagua ikiwa na thamani ya shilingi Bilioni Moja na Milioni Themanini na Sita (1,086,800,000.0)

Kesho Jumatano, Mwenge wa Uhuru utaendelea na mbio zake katika Halmashauri ya Manispaa ya Sumbwanga.

Mwisho.

Matangazo

  • HOTUBA YA BAJETI YA TAMISEMI KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024 May 05, 2023
  • Bei ya Mbolea za Rukuzu kwa Wakulima August 31, 2022
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi April 20, 2022
  • Hotuba ya Bajeti ya WN -OR TAMISEMI 2022/23 April 20, 2022
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • WAZAZI WAPATIENI WATOTO ELIMU KUHUSU HEDHI SALAMA

    June 02, 2023
  • WAWEKEZAJI KUTOKA ZAMBIA WAVUTIWA NA BANDARI MKOANI RUKWA

    May 28, 2023
  • MRADI WA MAJI WAZINDULIWA KISA

    May 15, 2023
  • ZAHANATI YA MPONA HALMASHAURI YA WILAYA YA SUMBAWANGA YAZINDULIWA

    May 15, 2023
  • Angalia Zote

Video

Serikali Kuimarisha mahusiano na Sekta Binafsi
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miundombinu ya Rukwa
  • Uvuvi
  • Mikakati ya Mkoa
  • Industries
  • Madini
  • Speeches
  • Huduma za Kilimo
  • Regional History
  • Hotuba

Viunganishi Linganifu

  • Pakua Salaryslip yako hapa
  • Idara ya Takwimu (NBS)
  • Kilio cha Wananchi kinasikilizwa
  • Watumishi portal
  • Tafuta ajira Serikalini
  • Pata kila kitu kutoka serikalini

World visitors tracker

world map hits counter

Wapitiaji

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 1 Barabara ya Mkoani

    Sanduku la barua: Box 128 Sumbawanga, 55180 RUKWA

    Simu: 025 280 2137

    Simu: 0739862632

    barua pepe: ras@rukwa.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa