• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
Rukwa Region
Rukwa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Rukwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Huduma za Kisheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Sumbawanga
    • Wilaya ya Nkasi
    • Wilaya ya Kalambo
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Nkasi
    • H/Wilaya ya Kalambo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Utalii
    • Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Miundombinu ya Rukwa
  • Huduma zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Livestocks
    • Huduma za Uvuvi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Huduma za Kisheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Fedha
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
    • Waliofaulu na Waliochaguliwa Shule

Sensa

imewekwa Tar: July 10th, 2022

MAKINDA: HAKIKISHENI WATU WOTE WANAHESABIWA SIKU YA SENSA

Kamisaa wa sensa na Spika Mstaafu Anne Makinda amewataka viongozi wa mkoa wa Rukwa kujipanga kuhakikisha watu wengi zaidi wanajitokeza siku ya kuhesabiwa ifikapo Agosti 23 mwaka huu nchi itakapofanya zoezi la sensa ya watu na makazi.

Kiongozi huyo ametoa wito huo leo (08.07.2022) mjini Sumbawanga  wakati akizungumza na wadau kuhusu hali ya maandalizi ya sensa nchini pamoja na kutoa elimu ya umuhimu wa zoezi la sensa mwaka huu 2022.

Makinda alibainisha kuwa katika zoezi zoezi hili limejengwa katika msingi wa kiutawala ambapo utaratibu umewekwa  watu watahesabiwa pale alipolala.

" Tutahesabu watu wote mahala walipolala kama ni vituo vya mabasi, nyumba za wageni, katika kaya, waliopo hospitalini pia wale watakaokuwa kwenye magereza na mahabusu wote maharani wa sensa watawafikia kwa utaratibu uliowekwa na serikali" alisisitiza Mama Makinda.

Katika hatua nyingine Kamisaa huyo wa sensa alisema viongozi na jamii ya mkoa wa Rukwa ikumbuke umuhimu wa kutoa taarifa za walemavu Ili nao wahesabiwe kwenye sensa hatua itakayosaidia serikali kujua idadi yao na hali zao kuwezesha upatikanaji wa huduma stahiki.

Kamisaa huyo alishauri viongozi wa mkoa wa Rukwa kuendelea kutoa elimu kwa jamii juu ya zoezi hili ambapo ametaka wawaandae wananchi kushiriki ipasavyo katika kutoa majibu kwa maswali watakayoulizwa na makarani wa sensa Ikiwemo kuandaa vitambulisho au namba NIDA .

Naye Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Joseph Mkirikiti alisema kwa juwamkoa huo upo mpakani tayari vyombo ya dola vimejiandaa kushirikiana na wataalam  kufanikisha zoezi la sensa ili raia wanaostahili kuhesabiwa wajItokeze huku ulinzi ukiimarishwa.

"Sensa ni takwa la kisheria tutasimamia vema,licha ya mkoa wetu kuwa mpakani tumejipanga kusimamia zoezi hili kwa kutumia vyombo vyetu ya ulinzi na usalama " alisisitiza Mkirikiti.

Mkirikiti alitoa rai kwa vyombo vya habari hususan radio za kijamii zikizopo mkoa wa Rukwa kutoa nafsi kwa wataalam  wa sensa na viongozi kutoa elimu na hamasa juu ya sensa ya watu na makazi ili wananfhi wengi wapate uelewana hatumaye wajitokeze siku ya kuhesabiwa.

Akitoa taarifa kuhusu maandalizi ya sensa ngazi mkoa,Mratibu wa mkoa Adam Ramadhan alisema tayari vituo vya kuhesabia watu 2,190 vimeandaliwa kwenye halmashauri  nne za Sumbawanga  Manispaa, Sumbawanga vijijini,Nkasi na Kalambo.

Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Mama Anne Makinda anendelea na ziara yaje ya kutoa elimu na hamasa ya sensa ambapo leo pia atazungumza kwenye mkutano wa hadhara kiiji cha Kasanga wilaya ya Kalambo.Mwisho.

Matangazo

  • RATIBA YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE August 20, 2025
  • RATIBA YA MTIHANI WA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI 2025 August 20, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2025 July 08, 2025
  • RATIBA YA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA 2025 April 15, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • REA KUANZA KUSAJILI NA KUUZA MAJIKO BANIFU MKOANI RUKWA

    August 28, 2025
  • MPANGO BORA WA UFUGAJI NYUKI WAWAFIKIA MACHIFU RUKWA

    August 20, 2025
  • TUME YA UCHAGUZI YAZITAKA TAASISI ZA ELIMU YA MPIGA KURA KUZINGATIA SHERIA NA MAELEKEZO

    July 31, 2025
  • RUKWA YAENDELEA KUCHUKUA HATUA THABITI KUDHIBITI VIFO VYA MAMA NA MTOTO

    July 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

LIVE- WAZIRI MCHENGERWA ANATAO TANGAZO LA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miundombinu ya Rukwa
  • Uvuvi
  • Mikakati ya Mkoa
  • Industries
  • Madini
  • Speeches
  • Huduma za Kilimo
  • Regional History
  • Hotuba

Viunganishi Linganifu

  • Pakua Salaryslip yako hapa
  • Idara ya Takwimu (NBS)
  • Mfumo wa Kutuma, Kupokea na kufuatilia Malalamiko, Mapendekezo, Maulizo na Pongezi
  • Watumishi portal
  • Tafuta ajira Serikalini
  • Pata kila kitu kutoka serikalini

World visitors tracker

world map hits counter

Wapitiaji

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa