• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
Rukwa Region
Rukwa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Rukwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Huduma za Kisheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Sumbawanga
    • Wilaya ya Nkasi
    • Wilaya ya Kalambo
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Nkasi
    • H/Wilaya ya Kalambo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Utalii
    • Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Miundombinu ya Rukwa
  • Huduma zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Livestocks
    • Huduma za Uvuvi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Huduma za Kisheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Fedha
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
    • Waliofaulu na Waliochaguliwa Shule

Tanzania prison yawapa furaha mashabiki wao ndani ya Uwanjawa Nelson Mandela

imewekwa Tar: October 22nd, 2020

Hatimae timu ya Tanzania prison imekata kiu ya mashabiki wao waliokuwa na hamu ya kuifunga timu ya Simba na hatimae kujiweka mahala pazuri katika msimamo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara katika mzunguko wa sita hali ilimpelekea mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo kutoa neno kwa wanarukwa.

Mh. Wangabo alisema kuwa amefurahi kwa timu hiyo  ya Tanzania Prison kuufanya uwanja wa Nelson Mandela na timu hiyo ilisema kuwa ina deni kubwa kwa wanarukwa na hatimae imefanya juhudi ya kupata ushindi mwanana na kila mtu amefurahi,

“Furaha ya mchezo ni kushinda na ili uweze kupata mashabiki wengi ni lazima ushinde na kama ushindi wanakuja kufanya nini kiwanjani, kwahiyo huu ni mwanzo sasa uwanja utakuwa unafurika kama ulivyoona leo uwanja ulikuwa haujatapika vizuri kwasababu mechi zimegonganishwa, Yanga inacheza huku na Simba inacheza huku, watazamaji ikawa kama ulivyoona,” Alisema.

Kwa upande wake kocha msaidizi wa Tanzania Prison Shaaban Kazumba alisema kuwa tangu awali walikuwa wamewasoma simba hasa baada ya kuwafunga timu ya jeshi wenzao na hivyo kuwafanya wawe makini Zaidi wakati wakijiandaa na mechi hii ya leo.

“Unapocheza na timu ni lazima uwe na Discipline kwasababu kwanza unacheza na bingwa na unajua kuwa unacheza na timu yenye wachezaji mahiri na tumeshakutana nao siku nyingi, wamewafunga wenzetu  wa jeshi JKT goli tatu katika uwanja wa Dodoma na hivyo tulichukua ile video na kuwasoma,” Alisisitiza.

Halikadhalika kocha wa Simba SC Sven Vandebroek alikubali kipigo hicho ndani ya Sumbawanga na kuahidi kujipanga katika mechi nyingine zijazo.

Goli la Tanzania Prison lilifungwa katika kipindi cha pili dakika ya 48 na mfungaji akiwa Samson Mbangula, goli lililowainua washabiki wa Tanzania Prison na kushindwa kukaa chini hadi mwisho wa mchezo Tanzania Prison 1 na Simba SC bila ya goli.

Matangazo

  • RATIBA YA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA 2025 April 15, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 04, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA DARASA LA NNE 2024 January 04, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONGORO AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO, ARIDHISHWA NA KASI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA UMEME

    May 05, 2025
  • JAMII YAASWA KUJENGA UTAMADUNI WA KUWAHUDUMIA WAZEE

    March 19, 2025
  • KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA TAMISEMI YARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI MKOA WA RUKWA

    January 09, 2025
  • RAIS SAMIA ATOA ZAWADI ZA MSIMU WA SIKUKUU WA MWAKA MPYA KWA WATOTO YATIMA NA WENYE MAHITAJI MAALUM MKOANI RUKWA

    December 31, 2024
  • Angalia Zote

Video

LIVE- WAZIRI MCHENGERWA ANATAO TANGAZO LA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miundombinu ya Rukwa
  • Uvuvi
  • Mikakati ya Mkoa
  • Industries
  • Madini
  • Speeches
  • Huduma za Kilimo
  • Regional History
  • Hotuba

Viunganishi Linganifu

  • Pakua Salaryslip yako hapa
  • Idara ya Takwimu (NBS)
  • Mfumo wa Kutuma, Kupokea na kufuatilia Malalamiko, Mapendekezo, Maulizo na Pongezi
  • Watumishi portal
  • Tafuta ajira Serikalini
  • Pata kila kitu kutoka serikalini

World visitors tracker

world map hits counter

Wapitiaji

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa