• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
Rukwa Region
Rukwa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Rukwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Huduma za Kisheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Sumbawanga
    • Wilaya ya Nkasi
    • Wilaya ya Kalambo
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Nkasi
    • H/Wilaya ya Kalambo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Utalii
    • Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Miundombinu ya Rukwa
  • Huduma zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Livestocks
    • Huduma za Uvuvi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Huduma za Kisheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Fedha
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
    • Waliofaulu na Waliochaguliwa Shule

Ushirika

imewekwa Tar: September 5th, 2021

"SITAKI VYAMA VYA USHIRIKA LIA LIA RUKWA" - RC MKIRIKITI


Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhe. Joseph Joseph Mkirikiti amewataka viongozi wa vyama vya ushirika wa wilaya za Sumbawanga, Nkasi na Kalambo kuacha tabia ya kulalamika badala yake wahamasishe ushirika unaolenga kuchangia kwenye ukuaji wa uchumi wa wananchi.


Mkirikiti ametoa agizo hilo leo (03.09.2021) mjini Sumbawanga alipokutana na viongozi wa Chama Kikuu cha Ushirika Ufipa cha Rukwa (UCU) pamoja na  wanachama wake 60 kujadili changamoto za madeni na ushirika kutokidhi malengo ya wanachama.


“Ushirika li alia hauna nafasi kwenye mkoa wa Rukwa kwani Serikali ya Awamu ya Sita inataka kuona wanaushirika wakinufaika na vyama vyao , hivyo Viongozi achene tabia ya kulalamika bali tafuteni majawabu ya kero za wakulima na wafugaji” alisema Mkirikiti.


Mkuu huyo wa Mkoa alibainisha kuwa Ushirika una historia  iliyotukuka kwani kupitia ushirika watoto wa masikini walipata elimu na kuchangia maendeleo ya taifa na familia zao dhidi ya umasikini hivyo uwepo wa chama kikuu cha uShirika Ufipa uwe ni suluhisho la kuleta maendeleo kwa wana Rukwa siyo migogoro na madeni.


“Wakati mkulima wa Rukwa analalamika kupanda kwa gharama za pembejeo na kukosa masoko ya mazao hapo ndipo Viongozi wa vyama vya ushirika wanapotakiwa kubuni suluhisho na kuwasaidia wananchama wao “ alisisitiza Mkirikiti.


Katika hatua nyingine Mkirikiti amesema uwepo wa Chama kikuu cha Ushirika Ufipa (UCU) usaidie wakulima ,wavuvi na wafugaji kupata pembejeo ,masoko pia mitaji ili wanachama wapate faida na kukuza uchumi wao.


Kuhusu tatizo ukosefu wa soko la mahindi na mazao mengine Mkirikiti amesema viongozi wa ushirika wanalo jukumu la kutafuta taarifa za masoko kila siku na kuwafikishia wanachama wao.

Akijibu ombi la Chama kikuu cha ushirika kuhusu Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula kuongeza kiwango cha tani  za ununuzi mahindi ,Mkirikiti alisema haitoweza kununua mahindi yote kutokana na kusudi la serikali.

"NFRA ni taasisi ya kimkakati ya kuhakikisha taifa linakuwa na usalama wa chakula ,hivyo haiwezi kununua mahindi yote ya wakulima" alisema Mkirikiti.

Akizungumza kuhusu utendaji kazi wa Chama Kikuu cha Ushirika  Ufipa Rukwa ( UCU) Mwenyekiti wake Adabeth Mbuyani alisema changamoto kubwa inayokabili ushirika ni ukosefu wa masoko na gharama kubwa za pembejeo .

Akizungumza kwa niaba ya Tume ya Maendeleo ya Ushirika toka Makao Makuu ,Mrajis Msaidizi Robert George alisema wamefika Rukwa ili kushiriki kikao hicho na kutambua changamoto za wananushirikikufuatia uwepo wa malalamiko mengi.


Robert aliongeza kusema uhai wa chama cha ushirika unatokana na uwepo wa mitaji hatua itakayosaidia chama kuwa na uwezo wa kutoa huduma ikiwemo pembejeo na masoko ya mazao.

Mwisho

Matangazo

  • RATIBA YA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA 2025 April 15, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 04, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA DARASA LA NNE 2024 January 04, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONGORO AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO, ARIDHISHWA NA KASI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA UMEME

    May 05, 2025
  • JAMII YAASWA KUJENGA UTAMADUNI WA KUWAHUDUMIA WAZEE

    March 19, 2025
  • KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA TAMISEMI YARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI MKOA WA RUKWA

    January 09, 2025
  • RAIS SAMIA ATOA ZAWADI ZA MSIMU WA SIKUKUU WA MWAKA MPYA KWA WATOTO YATIMA NA WENYE MAHITAJI MAALUM MKOANI RUKWA

    December 31, 2024
  • Angalia Zote

Video

LIVE- WAZIRI MCHENGERWA ANATAO TANGAZO LA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miundombinu ya Rukwa
  • Uvuvi
  • Mikakati ya Mkoa
  • Industries
  • Madini
  • Speeches
  • Huduma za Kilimo
  • Regional History
  • Hotuba

Viunganishi Linganifu

  • Pakua Salaryslip yako hapa
  • Idara ya Takwimu (NBS)
  • Mfumo wa Kutuma, Kupokea na kufuatilia Malalamiko, Mapendekezo, Maulizo na Pongezi
  • Watumishi portal
  • Tafuta ajira Serikalini
  • Pata kila kitu kutoka serikalini

World visitors tracker

world map hits counter

Wapitiaji

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa