• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
Rukwa Region
Rukwa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Rukwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Huduma za Kisheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Sumbawanga
    • Wilaya ya Nkasi
    • Wilaya ya Kalambo
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Nkasi
    • H/Wilaya ya Kalambo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Utalii
    • Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Miundombinu ya Rukwa
  • Huduma zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Livestocks
    • Huduma za Uvuvi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Huduma za Kisheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Fedha
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
    • Waliofaulu na Waliochaguliwa Shule

Usimamizi wa Miradi

imewekwa Tar: August 26th, 2022

RC SENDIGA AHIMIZA USIMAMIZI MAKINI WA MIRADI


Na. OMM Rukwa 

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Queen Sendiga amewataka wahandisi wa Halmashauri na Mkoa huo kufanya kazi ya usimamizi wa miradi ya ujenzi ili iwe bora na ikamilike ndani ya mkataba iliyowekwa.


Sendiga ametoa rai hiyo  (26 Agosti,2022) alipofanya ziara ya kikazi kukagua utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa vituo vya afya na majengo ya shule wilayani Nkasi.


"Mhandisi wa sekretariati ya Mkoa na wenzako wa Halmashauri tokeni maofisini na kwenda maeneo ya miradi kusimamia kazi za ujenzi ili miundombinu hiyo ikamilike Kwa ubora na kuzingatia vigezo (BOQ) zilizopo" alisema Sendiga.


Katika ziara hiyo Mkuu huyo wa Mkoa alikagua ujenzi wa Kituo cha Afya Kasu kilichogharimu shilingi Milioni 500 lakini bado miundombinu yake haijakamilika huku ikihitaji fedha zaidi kukamilika.


Mradi wa pili aliokagua ni ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari ya kata ya Paramawe iliyopatiwa shilingi Milioni 470 ambapo ujenzi wake umefika asilimia 70 ambapo ameagiza apatiwe taarifa ya kina kwanini mradi huo haijakamilika na fedha zimeisha.Mradi huo ulitakuwa kukamilika Juni mwaka huu lakini sasa utakamilika Septemba30 mwaka huu.


"Tunataka kuona majengo yakiwa na ubora kulingana na thamani ya fedha iliyotolewa na serikali hivyo sitaruhusu nyongeza ya muda au fedha bila kujua ukweli wa matumizi ya fedha zilizotolewa awali" alisisitiza Sendiga.


Mradi wa tatu  aliokagua ni ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Nkasi na kuagiza TAKUKURU kufanya uchunguzi wa thamani ya fedha iliyotumika kwenye uagizaji na ununuzi wa vifaa vya ujenzi .


Kwa upande wake Mganga Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Dkt. Ibrahim Isaack alisema amepokea maelekezo ya Mkuu wa Mkoa kuwa miradi ya sekta ya Afya kuwa na uangalizi wa karibu ili ikamilike kwa wakati kote kwenye halmashauri Nne za Rukwa.


Dkt. Isaack alibainisha kuwa changamoto ya miradi mingi kutokamilika kwa wakati sasa inafanyiwa kazi huku akisema tatizo la uagizaji vifaa limechangia miradi kutokamilika kwa wakati.

Mwisho.



















Matangazo

  • RATIBA YA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA 2025 April 15, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 04, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA DARASA LA NNE 2024 January 04, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONGORO AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO, ARIDHISHWA NA KASI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA UMEME

    May 05, 2025
  • JAMII YAASWA KUJENGA UTAMADUNI WA KUWAHUDUMIA WAZEE

    March 19, 2025
  • KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA TAMISEMI YARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI MKOA WA RUKWA

    January 09, 2025
  • RAIS SAMIA ATOA ZAWADI ZA MSIMU WA SIKUKUU WA MWAKA MPYA KWA WATOTO YATIMA NA WENYE MAHITAJI MAALUM MKOANI RUKWA

    December 31, 2024
  • Angalia Zote

Video

LIVE- WAZIRI MCHENGERWA ANATAO TANGAZO LA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miundombinu ya Rukwa
  • Uvuvi
  • Mikakati ya Mkoa
  • Industries
  • Madini
  • Speeches
  • Huduma za Kilimo
  • Regional History
  • Hotuba

Viunganishi Linganifu

  • Pakua Salaryslip yako hapa
  • Idara ya Takwimu (NBS)
  • Mfumo wa Kutuma, Kupokea na kufuatilia Malalamiko, Mapendekezo, Maulizo na Pongezi
  • Watumishi portal
  • Tafuta ajira Serikalini
  • Pata kila kitu kutoka serikalini

World visitors tracker

world map hits counter

Wapitiaji

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa