• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
Rukwa Region
Rukwa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Rukwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Huduma za Kisheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Sumbawanga
    • Wilaya ya Nkasi
    • Wilaya ya Kalambo
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Nkasi
    • H/Wilaya ya Kalambo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Utalii
    • Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Miundombinu ya Rukwa
  • Huduma zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Livestocks
    • Huduma za Uvuvi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Huduma za Kisheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Fedha
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
    • Waliofaulu na Waliochaguliwa Shule

Wathibiti ubora wa elimu ndio jicho la kuboresha elimu bure nchini – Waziri Ndalichako

imewekwa Tar: January 8th, 2020

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako amewataka wathibiti ubora wa elimu nchini kufanya kazi kwa weledi  kwakuwa serikali inathamini kazi zao na kuwategemea ili kuwa jicho la serikali katika kuonyesha mahala penye mapungufu ili serikali iweze kuyafanyia kazi mapungufu hayo.

Prof. Ndalichako amesema kuwa wakati mwengine huwa inaumiza kuona vyombo vya habari ndivyo vinavyoibua mapungufu yaliyopo mashuleni wakati wathibiti hao wakiwepo na wakiwa wamekaa kimya na hivyo kuwataka kutokaa kimya pindi wanapoona kasoro zilizomo mashuleni.

“Inauma sana unapoona mambo ya elimu unayasoma kwenye vyombo vya habari, unakuta sijui shule hii haina choo, shule hii sijui inachangamoto Fulani unajiuliza wathibiti ubora wa eneo husika wako wapi, kwanini haya mambo hawayaoni ili tunapokuwa tunapanga bajeti zetu tuwe tunaelekeza  ‘resource’ zetu pale ambapo pana uhitaji mkubwa, kwahiyo naomba sana wathibiti ubora tufanye kazi kwa ubunifu,” Alisema.

Aidha aliwataka wathibiti hao kuacha kufanya kazi kwa mazoea na kuwa kila jambo linalohusu elimu linawahusu na kuwataka kutosita kutoa taarifa endapo kuna jambo lolote kwani dhamira ya serikali ya awamu ya tano ni kutoa elimu bila ya malipo lakini ni elimu iliyo bora kwani watoto wanapokwenda shule wakitoka wawe wamesheheni ujuzi na maarifa  ili waweze kutoa mchango chanya kwa maendeleo ya nchi.

Prof. Ndalichako aliyasema hayo kabla ya kuzindua ofisi ya wathibiti ubora wa shule katika Wilaya ya Sumbawanga , jengo ambalo limejengwa kwa thamani ya shilingi 152,032,650 huku serikali ikiwa imetoa zaidi ya shilingi Bilioni 15.2 kwaajili ya ujenzi wa ofisi hizo 100 nchini.

Matangazo

  • RATIBA YA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA 2025 April 15, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 04, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA DARASA LA NNE 2024 January 04, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONGORO AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO, ARIDHISHWA NA KASI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA UMEME

    May 05, 2025
  • JAMII YAASWA KUJENGA UTAMADUNI WA KUWAHUDUMIA WAZEE

    March 19, 2025
  • KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA TAMISEMI YARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI MKOA WA RUKWA

    January 09, 2025
  • RAIS SAMIA ATOA ZAWADI ZA MSIMU WA SIKUKUU WA MWAKA MPYA KWA WATOTO YATIMA NA WENYE MAHITAJI MAALUM MKOANI RUKWA

    December 31, 2024
  • Angalia Zote

Video

LIVE- WAZIRI MCHENGERWA ANATAO TANGAZO LA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miundombinu ya Rukwa
  • Uvuvi
  • Mikakati ya Mkoa
  • Industries
  • Madini
  • Speeches
  • Huduma za Kilimo
  • Regional History
  • Hotuba

Viunganishi Linganifu

  • Pakua Salaryslip yako hapa
  • Idara ya Takwimu (NBS)
  • Mfumo wa Kutuma, Kupokea na kufuatilia Malalamiko, Mapendekezo, Maulizo na Pongezi
  • Watumishi portal
  • Tafuta ajira Serikalini
  • Pata kila kitu kutoka serikalini

World visitors tracker

world map hits counter

Wapitiaji

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa