• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
Rukwa Region
Rukwa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania PMO - Regional Administration and Local Government Mkoa wa Rukwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Huduma za Kisheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Ugavi
      • KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI
      • KITENGO CHA MAENDELEO YA JAMII
  • Wilaya
    • Wilaya ya Sumbawanga
    • Wilaya ya Nkasi
    • Wilaya ya Kalambo
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Nkasi
    • H/Wilaya ya Kalambo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Utalii
    • Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Miundombinu ya Rukwa
  • Huduma zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Livestocks
    • Huduma za Uvuvi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Huduma za Kisheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Fedha
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
    • Waliofaulu na Waliochaguliwa Shule

Waziri Ndalichako aagiza chuo cha VETA Nkasi kutoa mafunzo ya muda mfupi

imewekwa Tar: August 15th, 2018

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako ameigiza Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi VETA Kanda ya Kusini Magharibi kuhakikisha Chuo Cha Wilaya ya Nkasi cha Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi kinaanza kutoa mafunzo ya muda mfupi kuanzia mwezi Septemba mwaka huu.

Waziri Ndalichako ametoa agizo hilo akiwa ziarani mkoani Rukwa kwa ajili ya kukagua miradi ya Elimu inayotekelezwa na wizara hiyo katika mkoa wa Rukwa ambapo amesema majengo yaliyopo yanaweza kuendelea kutumika kutoa mafunzo ya muda mfupi huku serikali ikiendelea na utaratibu wa kufanya ukarabati katika majengo hayo.

Waziri Ndalichako amesema majengo hayo ni imara pamoja na kwamba hayajatumika kwa zaidi ya miaka mitatu lakini miundombinu ya majengo hayo bado ipo vizuri na inahitaji tu kupakwa rangi na kurekebisha masuala ya umeme .

“Ukiangali unaona raslimali ya serikali inapotea kuna majengo ambayo yangeweza kutumika kutoa mafunzo kwa vijana wa Nkasi ili kuwapatia ujuzi lakini hayatumiki, bado nasisitiza mtumie majengo haya kwa kuanzia yatumike kwa kutoa kozi za muda mfupi,”alisisitiza Waziri Ndalichako

Waziri Ndalichako amesema dhamira ya serikali ni kufikia vijana wengi katika kuwapatia ujuzi na maarifa na vijana wa Nkasi ni sehemu ya vijana hao wanahitaji kuwezeshwa kupata ujuzi na maarifa ili kuziona fursa nyingi za kimaendeleo.

Akiwa mkoani Rukwa Waziri Ndalichako pia ametembelea shule ya Sekondari ya Nkasi kwa lengo la kukagua maendeleo ya ukarabati wa miundombinu ya shule hiyo unaofanywa na wadau wa Elimu ambapo katika kuunga mkono juhudi hizo ametoa mifuko 100 ya simenti itakayosaidia katika ujenzi wa miundombinu hiyo.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Said Mtanda amesema serikali ya wilaya ipo tayari kushirikiana na VETA katika kuhakikisha Chuo hicho kinaanza mapema.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI 2025 January 10, 2026
  • MATOKEO YA MTIHANI WA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE 2025 January 10, 2026
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2026 December 06, 2025
  • RATIBA YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE August 20, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • WATUMISHI WA AFYA RUKWA WAHIMIZWA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI KUHUSU BIMA YA AFYA KWA WOTE

    December 17, 2025
  • BODI YA USHAURI YA HOSPITALI YA RUFAA SUMBAWANGA YAZINDULIWA, YAAGIZWA KUIMARISHA USHIRIKIANO NA MENEJIMENTI KUBORESHA HUDUMA.

    November 28, 2025
  • PPRA YAANZA MAFUNZO KUWEZESHA MAKUNDI MAALUM KUSHIRIKI UNUNUZI WA UMMA

    December 25, 2025
  • RC MAKONGORO AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA AMANI RUKWA , ASISITIZA UOMJA NA KULINDA AMANI KWA MAENDELEO YA MKOA

    November 20, 2025
  • Angalia Zote

Video

LIVE- WAZIRI MCHENGERWA ANATAO TANGAZO LA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miundombinu ya Rukwa
  • Uvuvi
  • Mikakati ya Mkoa
  • Industries
  • Madini
  • Speeches
  • Huduma za Kilimo
  • Regional History
  • Hotuba

Viunganishi Linganifu

  • Pakua Salaryslip yako hapa
  • Idara ya Takwimu (NBS)
  • Mfumo wa Kutuma, Kupokea na kufuatilia Malalamiko, Mapendekezo, Maulizo na Pongezi
  • Watumishi portal
  • Tafuta ajira Serikalini
  • Pata kila kitu kutoka serikalini

World visitors tracker

world map hits counter

Wapitiaji

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa