imewekwa Tar: December 4th, 2024
Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Mheshimiwa Charlotta Ozaki Marcias, amefanya ziara ya siku tatu ya ukaguzi wa miradi inayofadhiliwa na Shirika la Maendeleo la SNV la Sweden kupitia Mradi wa Sustain ...
imewekwa Tar: November 12th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Mheshimiwa Charles Makongoro Nyerere, ameipongeza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoani Rukwa kwa kuvuka lengo la makusanyo ya mapato kwa asilimia 120 kwa Ro...
imewekwa Tar: October 21st, 2024
Na Khadija Dalasia - Rukwa,
Baraza la Biashara Mkoa wa Rukwa limefanya kikao chake 22 Oktoba 2024 katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa kikiwahusisha wafanya...