imewekwa Tar: December 26th, 2019
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amewataka wanarukwa kutumia sherehe za siku ya kuzaliwa Yesu kristo kutafakari nafasi za watoto katika familia na kuongeza kuwa serikali ya imejipaga kuhakiki...
imewekwa Tar: December 25th, 2019
Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amesisitiza umoja na mshikamano kwa waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT)ambao kwa majuma kadhaa wamekuwa na mikwaruzano hali iliyofanya ...
imewekwa Tar: December 19th, 2019
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhandisi Joseph Nyamuhanga amesema kuwa Ofisi ya Rais inaendelea kufanya tathmini kwa hospitali zote 67 kuhakikisha kwam...