imewekwa Tar: June 28th, 2024
Mheshimiwa Charles Makongoro Nyerere ametoa siku 14 kwa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga kukamilisha maabara katika Shule ya Sekondari Mazoezi iliyopo Kata ya Chanji.
...
imewekwa Tar: June 26th, 2024
Kukamilika kwa Zahanati ya Kijiji cha Katongolo Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi Mkoani Rukwa kunatajwa kuwapunguzia wananchi wa Kijiji hicho umbali wa zaidi ya kilomita 8 kufuata huduma za afy...
imewekwa Tar: June 25th, 2024
Mheshimiwa Charles Makongoro Nyerere ameagiza kufanyika kwa uchunguzi kuhusu ukusanyaji wa mapato katika Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi.
Mheshimiwa Makongoro ameagiza uch...