imewekwa Tar: June 2nd, 2024
Manispaa ya Sumbawanga ni miongoni mwa Halmashauri zilizopokea fedha ya Ruzuku kutoka Serikali kuu kiasi cha Tsh. 1,662,200,000 kwa ajili ya miundombinu mbalimbali katika Shule za Sekondari.
...
imewekwa Tar: June 2nd, 2024
Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga, Nyakia Ally Chirukile amewataka wananchi wa Wilaya ya Sumbawanga kuchangia gharama za huduma za maji ili kuifanya miradi ya maji iliyojengwa ...
imewekwa Tar: June 2nd, 2024
Serikali imefanikiwa kupunguza vifo vya akina mama vitokanavyo na matatizo ya uzazi kutoka 74 Mwaka 2020 hadi kufikia vifo 41 kwa Mwaka 2023 kwa kuimarisha miundombinu ya utoaji hudu...