imewekwa Tar: November 17th, 2018
Wananchi wa kijiji cha Mayenge kilichopo Kata ya Milepa, Wilayani Sumbawanga wamemstaajabisha Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo baada ya kujenga madarasa manne, nyumba ya mwalimu, vyoo vitatu ...
imewekwa Tar: November 16th, 2018
Mkuu wa mkoa wa rukwa Mh. Joachim Wangabo amemuagiza Mkurugenzi wa Manispaa ya Sumbawanga kwa kushirikiana na Wakala wa barabara mijini na Vijijini (TARURA) kuhakikisha wanawaondoa wale wote waliokuwa...
imewekwa Tar: November 15th, 2018
Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amwemuagiza katibu tawala wa Mkoa wa Rukwa kuhakikisha anaunda timu kwaajili ya kufanya uchunguzi juu ya matumizi ya fedha iliyotumika kwenye ujenzi wa soko h...