imewekwa Tar: November 8th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo ametembela ghala la kuhifadhia mbolea la Kampuni ya Mbolea Tanzania (Tanzania Fertilizer Company – TFC) na kutokuta hata mfuko mmoja wa mbolea huku wakulima w...
imewekwa Tar: November 7th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amewaagiza wakurugenzi wote wa halmashauri kuhakikisha wanatekeleza sheria ya upandaji miti kwa kila nyumba ili iwe ngao dhidi ya upepo mkali unaosababisha ma...
imewekwa Tar: November 7th, 2018
Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amewashauri wakazi wa mwambao wa ziwa Tanganyika katika Wilaya ya Nkasi na Kalambo kuchangamkia fursa ya kibiashara iliyojitokeza baada ya operesheni ya kukam...