imewekwa Tar: May 20th, 2024
Mkoa wa Rukwa umepokea madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo kutoka Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI). Kambi maalum ya matibabu ya moyo imeanza rasmi tarehe 20 Mei 2024 na itad...
imewekwa Tar: May 17th, 2024
WAGONJWA 957 WAPATIWA HUDUMA ZA KIBINGWA MKOANI RUKWA
Wagonjwa 957 wamepatiwa huduma za kibingwa Mkoani Rukwa.
Akitoa taarifa ya hali ya huduma leo tarehe 17 Mei 2024, Dkt Budodi ambaye ni m...
imewekwa Tar: May 14th, 2024
Mamia ya wananchi waliojitokeza kupata huduma za matibabu za kibingwa zinazoendelea kutolewa na katika hospitali zote za Wilaya Mkoani Rukwa, wameipongeza Serikali kwa mpango wa kuso...